FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Kwani Syria ilinunua hizo S300s? Maana taarifa zinadai walipewa bure!Sasa huyo mwenye kutoa rank si mmarekani kwanini asijipe F15 yake ndio bora? kumbuka kuna F35 ya mmarekani imeperekwa israel kwa mbwembe nyingi tu lkn baada ya syria kununua S300 ndege zote zimefungiwa stoo walisema kwa wiki mbili lkn mpaka leo zimesimaa operation lkn zilikuwa na sifa kibao kibao hazionekani,zinakwepa na tambo kibao,Nakupa taarifa tu kule Russia wapo kwenye test ya S500 air defence nenda youtobe kaangalie kasi ya ufyatukaji wa kombora hakika hakuna ndege itakayokatiza mbele yake,na ninakwambia hizo F35 zitageuzwa gari za mwendo kazi sio vitani.
Israel anafanya Missions zake pale Syria na anatumia hasa F-16s ambazo ni Non-Stealthy, 4th Generation na anafanikiwa.
Hizi S300s za Syria ni za kufikirisha sana!