Tunatoa huduma ya mikopo

Tunatoa huduma ya mikopo

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
91
Reaction score
79
habari
ikiwa una uhitaji wa kifedha na unahitaji kutatua shida zako ziwe shida binafsi au za kibiashara basi Nina kukularibisha kwetu uweze kukopa Toka kwetu.
Huduma ya mikopo tuliyonayo ni kama ifuatavyo;
mikopo Kwa wafanyabiashara wakubwà na wadogo
mikopo Kwa wakulima na wafugaji
mikopo Kwa makampuni ya usafirishaji na usambazaji wa bidhaa
mikopo Kwa wamiliki wa viwanda vidogo na vya kati
mikopo ya kulipia ushuru bandarini
mikopo ya kuagiza magari toka nje ya nchi
mikopo Kwa shule vyuo vya kati na vyuo vikuu Toka sekta binafsi
mikopo Kwa taasisi za afya Toka sekta binafsi
mikopo Kwa watumishi wa umma
mikopo Kwa watumishi toka sekta binafsi
mikopo Kwa wajasiriamali wakubwà na wadogo
mikopo Kwa matumizi binafsi
mikopo Kwa ajili ya kugharamikia afya au elimu
kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja
# muda wa marejesho ni miezi mitatu Hadi miezi 24 mteja ana uhuru wa kuchagua muda wa marejesho
# RIBA ni asilimia 3.5% kila mwezi ( reducing balance method)
# mteja atapata mkopo ndani ya masaa 48 Hadi 72 pindi atakapokuwa amekamirisha taratibu zote
# Mdhamana ni KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja Toka serikalini
NYARAKA MUHIMU AMBAZO MTEJA ANAPASWA KUWA NAZO ILI APATE MKOPO
  • Kitambulisho cha taifa NIDA
  • Leseni ya udereva
  • Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
  • Taarifa za kibenki za miezi 6 au miamala ya simu
  • Tin number
  • Leseni ya biashara
  • 3 passport size za kwako na 3 za wadhamini wawili
  • Kitambulisho cha taifa NIDA Cha mdhamini na barua ya mdhamin
  • KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mkopo tafadhali wasiliana NAMI
0686153806
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom