Mikopo ya haraka inapatikana

Tahadhari wana JF, mkopo huu ni 'Wizi Mtupu'
Lakini kwa wenye deal, mkopo huu ni deal na lazima deal ijipe ili uweze kulipa huu mkopo wa deal.
Kwa jina jingine ni wale wenye shida za dharura za kuhitaji pesa huku wana magari yao, wayauze kwa nusu ya dhamani ya magari yao kwa kisingizio cha dhamana ya mkopo.

Kwa msaada zaidi, hiyo asilimia 30% kwa mwezi ni sawa na asilimia moja kwa siku. Kitu ambacho hajakisema ni kuwa baada ya zile siku 30 kupita, wanaendelea kuchaji asilimia moja kila siku inayozidi. Unapewa siku 90 deni linafika asilimia 100%. Dhama yako inauzwa kwa haraka kabla haija depreciate.

Makampuni mengi ya mikopo ikiwepo Buyport, Blue Finance, Easy Finance, Pride, Selfina, Finca etc, wanacharge 30% interest. Wako wanaofaidika, hawa ni wale wenye deals zao, na wako wanaolia, hawa ni wale wenye shida zao.
 
Hii imekaa kibayport hii! Huwa unakuja kwa style nyingi. Wengine wanakopesha wafanyakazi tu hasa walimu, hawa wameamua kukopesha wenye magari tu. Kweli hii Bongo!!
 
Mimi nawaelewa vizuri hawa watu wa namna hii. Ukiwa Uswazi unaweza kufa wakati una gari lako.Ziko casses nyingi wanapokuwa rescue wakati ndugu wala bank yoyote haiwezi kukuokoa zaidi ya hawa na gari lako,na wana wataalamu wa ku asses magari kweli, gari la Million 20 wanakupa million 8 mwisho. Issue inakuwa una ndugu yako yuko Central Police na wazee wanataka laki 5 ambazo huna lakini mwisho wa mwezi utazipata,kwanini aendelee kupata magonjwa huko police/keko wakati ungemuokoa ukawekesha hilo gari kwa hao jamaa.Mikopo hii mara nyingi sio kwa ajili ya biz. ni kwa ajili ya watu waliobanwa na shida to death.
Mimi niliwajua hawa watu wakati natakiwa kukomboa mzigo wangu,ushuru million 13 nikakosa laki 7,mzigo unatakiwa lakini lazima niwape mzigo ndio nilipwe au upigwe mnada na TRA nipoteze mzigo na biashara,ilibidi niwafuate. Wana yard ya kuyaweka na gari unakuwa kama umewauzia ukishindwa kulipa ONTIME-wana mikataba kama ya lawyers wa Hitler.
 
We Sanya Juu sio mkopeshaji bali nii mwekezaji, yaani 30% return in a month sasa who is working for who??? provide a realistic service bwana, If pretend to lend people money then people will pretend to borrow it from you!!!!
 
mimi nawaelewa vizuri hawa watu wa namna hii. Ukiwa uswazi unaweza kufa wakati una gari lako.ziko casses nyingi wanapokuwa rescue wakati ndugu wala bank yoyote haiwezi kukuokoa zaidi ya hawa na gari lako,na wana wataalamu wa ku asses magari kweli, gari la million 20 wanakupa million 8 mwisho. Issue inakuwa una ndugu yako yuko central police na wazee wanataka laki 5 ambazo huna lakini mwisho wa mwezi utazipata,kwanini aendelee kupata magonjwa huko police/keko wakati ungemuokoa ukawekesha hilo gari kwa hao jamaa.mikopo hii mara nyingi sio kwa ajili ya biz. Ni kwa ajili ya watu waliobanwa na shida to death.
Mimi niliwajua hawa watu wakati natakiwa kukomboa mzigo wangu,ushuru million 13 nikakosa laki 7,mzigo unatakiwa lakini lazima niwape mzigo ndio nilipwe au upigwe mnada na tra nipoteze mzigo na biashara,ilibidi niwafuate. Wana yard ya kuyaweka na gari unakuwa kama umewauzia ukishindwa kulipa ontime-wana mikataba kama ya lawyers wa hitler.

kumbe unajuana nae
 
Naona siku hizi kuna watu wanataka kuharibu hadhi ya JF. Sanya juu jf iko vitani kupinga ufisadi na wewe unaleta deals za kifisadi hapa!
Mods mi sioni manufaa ya hii thread. Do the needful please
 
Jamani watanzania inabidi tukubali ukweli na sometimes tuache kujifanya wajuaji???

Mimi swali langu ni moja tu:: JE HIZI INTEREST RATES HUKO US, UK, CANADA ZIPO???

jibu ni tena hiyo 30% monthly ni chamtoto. Hamjasikia Payday Loans, Money Mart advances blah blah???

Payday Loan example::::::

Retail lending
Borrowers visit a payday lending store and secure a small cash loan, with payment due in full at the borrower's next paycheck (usually a two week term). In the United States, finance charges on payday loans are typically in the range of 15 to 30 percent of the amount for the two-week period, which translates to rates ranging from 390 percent to 780 percent when expressed as an annual percentage rate (APR)[1] The borrower writes a postdated check to the lender in the full amount of the loan plus fees. On the maturity date, the borrower is expected to return to the store to repay the loan in person. If the borrower doesn't repay the loan in person, the lender may process the check traditionally or through electronic withdrawal from the borrower's checking account.

If the account is short on funds to cover the check, the borrower may now face a bounced check fee from their bank in addition to the costs of the loan, and the loan may incur additional fees and/or an increased interest rate as a result of the failure to pay.
 
Moelex,
Hapa sio ujuaji. Hapana.
Watu wanaangalia interest rates zinawatisha bila kujali mkopeshaji ni nani mtu binafsi au taasisi, maana kila mkopeshaji huja na masharti yake na ni juu ya mkopaji kuona anauhitaji mkopo au aache.
Kwa uzoefu wangu katika biashara watu wa aina ya Sanya juu ni wengi tu hapa Tanzania.
Hawa ni watu binafsi tu wana pesa yao mfukoni hawaoni pengine pa ku invest maana wana miradi mingi na bado wana pesa mkononi.
Hawa hawana vibali vya benki kuu. Ni mobile lending institutions au niseme ni bank ambazo kwa benki kuu ni invisible.
Watu wa jinsi hii wengi wao ukupatia pesa kwa masharti ya mwezi mmoja pesa ziwe zimerudishwa. Mimi nimekuwa nikikopa kwa mtu mmoja wa aina ya Sanya juu ambaye alikuwa anatoza 15% tena kwa siku 30, na kwa sababu niliacha kuendelea kuchukua mkopo wa aina hii sijui sasa hivi rate zinaangukia ngapi.
Masharti ya wale ninaowajua ni tofauti kidogo na Sanya juu maana wao kabla ya kukupa mkopo unampa postdated bank cheque ya kiasi hicho cha pesa plus interest ofcourse.
Siku ikifika ya malipo yeye aji kwako bali anapeleka ile cheque yako bank kwa malipo.
Mikopo ya aina hii mara nyingine ni mkombozi hasa ukichukulia jinsi bank zetu zinavyo process mikopo pole pole sana.
Mtu unaweza kuwa unahitaji pesa kwa kila namna ili ufanikishe shughuli yako itakayokupa kafaida kidogo. Na huna pesa. Inabidi uchukue mikopo hii ili ufanikishe na ugawane na mkopeshaji kifaida kidogo ulichopata.
Mara nyingi ni msaada lakini kwa kweli inaumiza sana. Sasa utafanyaje? Mkono mtupu haulambwi.
Just FYI kuna watu wana pesa hata hawajui wazifanyie nini katika nchi hii hii ya Tanzania. Maana nilikuwa na rafiki yangu alikuwa anatafuta ushauri afanyeje na pesa aliyonayo? hakuwa anaona mradi wowote wa ku invest maana alikuwa na investment kwenye miradi mingi mpaka haoni awekeze wapi wakati bado ana mamilioni ya pesa mkononi.
We acha tu. Nchi hiiiiiiii?????????????
 
mawasiliano ya simu ni rahisi sana hata kwa meseji inatosha kukuelewesha na maswali yako kujibiwa hata kukuelekeza ukitaka kuja ofisini.
Riba asilimia 30 ya mkopo.
Mkopo utakaopata unakuwa nusu ya dhamani ya gari yako
mfano gari yako ina dhamani ya milioni 50 unakopeshwa milioni 25.
Muda wa mkopo mwezi 1.
Baada ya mwezi 1 unarudisha milioni 32500000.
Mikataba yote inasimamiwa na wanasheria.hakuna udanganyifu.
Garama za kulipia valuation ya gari yako kujua dhamani yake unalipia wewe mwombaji mkopo.
Aliyekuwa serious awasiliane na mimi namba 0713902202 nitamuelekeza atakuja ofisini na jina la ofisi atalijua .

kwa interest hiyo na payback period labda ufanye biashara ya madawa ya kulevya!!
 
Sanya, kama hiyo biashara ni sawasawa, kuna tatizo kuweka anuani hapa???????????? usijiweke mahali pa watu kukustukia, kwani ni matapeli tu ndio wana kampuni za mfukoni na simu ya mkononi.
WEKA TAARIFA KAMILI WATU WAONE HATA KAMA UNATAKA COMMISSION YAKO TOKA KWA WENYEWE.

Na hiyo RIBA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! nhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Tahadhari wana JF, mkopo huu ni 'Wizi Mtupu'
Lakini kwa wenye deal, mkopo huu ni deal na lazima deal ijipe ili uweze kulipa huu mkopo wa deal.
Kwa jina jingine ni wale wenye shida za dharura za kuhitaji pesa huku wana magari yao, wayauze kwa nusu ya dhamani ya magari yao kwa kisingizio cha dhamana ya mkopo.

Kwa msaada zaidi, hiyo asilimia 30% kwa mwezi ni sawa na asilimia moja kwa siku. Kitu ambacho hajakisema ni kuwa baada ya zile siku 30 kupita, wanaendelea kuchaji asilimia moja kila siku inayozidi. Unapewa siku 90 deni linafika asilimia 100%. Dhama yako inauzwa kwa haraka kabla haija depreciate.

Makampuni mengi ya mikopo ikiwepo Buyport, Blue Finance, Easy Finance, Pride, Selfina, Finca etc, wanacharge 30% interest. Wako wanaofaidika, hawa ni wale wenye deals zao, na wako wanaolia, hawa ni wale wenye shida zao.

mheshimiwa mimi ni mteja wa FINCA na hiyo silimia 30 finca wanacharge kwa mwaka na wala sio kwa mwezi, Pride nao hivyohivyo
 
mawasiliano ya simu ni rahisi sana hata kwa meseji inatosha kukuelewesha na maswali yako kujibiwa hata kukuelekeza ukitaka kuja ofisini.
riba asilimia 30 ya mkopo.
mkopo utakaopata unakuwa nusu ya dhamani ya gari yako
Mfano gari yako ina dhamani ya milioni 50 unakopeshwa milioni 25.
muda wa mkopo mwezi 1.
Baada ya mwezi 1 unarudisha milioni 32500000.
mikataba yote inasimamiwa na wanasheria.hakuna udanganyifu.
garama za kulipia valuation ya gari yako kujua dhamani yake unalipia wewe mwombaji mkopo.
aliyekuwa serious awasiliane na mimi namba 0713902202 nitamuelekeza atakuja ofisini na jina la ofisi atalijua .
Ama kweli, pesa huenda kwa mwenye pesa! Sisi tusionazo, hata zile kidogo tulizonazo tunanyang'anywa.
Nikitaka mkopo kwa ajili ya kununua gari naambiwa niweke dhamana ya gari. Nikitaka pesa naambiwa niwe na akaunti yenye pesa. Jamani!
 
mheshimiwa mimi ni mteja wa finca na hiyo silimia 30 finca wanacharge kwa mwaka na wala sio kwa mwezi, pride nao hivyohivyo

sasahivi tunakutana na muhitaji halafu tunajadiliana kuhusu riba.sio lazima tumchaji 30%.riba inaweza kupungua ikafika 15% au 20%.ikiwa gari ni ya dhamani na ni mpya riba inapungua.halafu garama za kufanya valuation ya gari yako ni bure!! Hatuchaji.
Kwahiyo tukishakagua gari yako tunajadiliana na wewe,tukiafikiana unapata mkopo.
Kwahiyo tunaweza kusema loans yetu ni negotiable on the table .

Wale wenye nyumba kinondoni,msasani ,mikocheni,masaki,ostabei na wana hati miliki kama wanahitaji mkopo tunawapatia kwa dhamana ya nyumba zao.
Kwa mawasiliano piga simu: 0713902202
 
mawasiliano ya simu ni rahisi sana hata kwa meseji inatosha kukuelewesha na maswali yako kujibiwa hata kukuelekeza ukitaka kuja ofisini.
riba asilimia 30 ya mkopo.
mkopo utakaopata unakuwa nusu ya dhamani ya gari yako
Mfano gari yako ina dhamani ya milioni 50 unakopeshwa milioni 25.
muda wa mkopo mwezi 1.
Baada ya mwezi 1 unarudisha milioni 32500000.
mikataba yote inasimamiwa na wanasheria.hakuna udanganyifu.
garama za kulipia valuation ya gari yako kujua dhamani yake unalipia wewe mwombaji mkopo.
aliyekuwa serious awasiliane na mimi namba 0713902202 nitamuelekeza atakuja ofisini na jina la ofisi atalijua .

sasahivi tunakutana na muhitaji halafu tunajadiliana kuhusu riba.sio lazima tumchaji 30%.riba inaweza kupungua ikafika 15% au 20%.ikiwa gari ni ya dhamani na ni mpya riba inapungua.halafu garama za kufanya valuation ya gari yako ni bure!! Hatuchaji.Kwahiyo tukishakagua gari yako tunajadiliana na wewe,tukiafikiana unapata mkopo.
Kwahiyo tunaweza kusema loans yetu ni negotiable on the table .

Wale wenye nyumba kinondoni,msasani ,mikocheni,masaki,ostabei na wana hati miliki kama wanahitaji mkopo tunawapatia kwa dhamana ya nyumba zao.
Kwa mawasiliano piga simu: 0713902202

We mbona utaratibu wenu unabadilikabadilika?

Halafu kwa nini hamtaki nyumba za Sinza, Ubungo, Tabata, Vingunguti, Buguruni, Ilala etc yaani mnataka za watu wa matawi ya juu tu eeeeeehhhhh?
 
Money laundli hiyo........................One thing kuhusu hizo riba,Denmark kuna watu wameenda bankrupt kabla ya kumaliza vyuo,kisa mikopo kupitia kwenye simu.Na unapata 24 seven,upo club umeshapiga kojozi/tungi unalamba mkopo interest hadi 3000%.Serikali imekataa kuingilia kwani ni chaguo lako.
 
We mbona utaratibu wenu unabadilikabadilika?

Halafu kwa nini hamtaki nyumba za Sinza, Ubungo, Tabata, Vingunguti, Buguruni, Ilala etc yaani mnataka za watu wa matawi ya juu tu eeeeeehhhhh?

Nenda benki kawalilie watakupa ela ya kirahisi
benki zipo nyingi sana hapa tanzania zimejitolea kusaidia wananchi.ukifika benki watakupa kwa urahisi na haraka mkopo wowote unaotaka
 
riba na muda wa mkopo ni flexible tunajadiliana na muhitaji mkopo.
riba inarange kati ya 10% na 25% kwa mwezi.
marejesho ya mkopo kati ya mwezi 1 na miezi 8.
 
Nenda benki kawalilie watakupa ela ya kirahisi
benki zipo nyingi sana hapa tanzania zimejitolea kusaidia wananchi.ukifika benki watakupa kwa urahisi na haraka mkopo wowote unaotaka

If you mean business achana na jazba......mimi nimekuliza, huo utaratibu wenu unabadilika badilika sana kuhusu;

1. Gharama za valuation ya assets - mara costs za valuation anazibeba mwombaji mara ni bure

2. Gharama za riba...mara min 15% to 20%, tena leo umekuja na 10% to 25%

3. Repayment period ....mara ni 1 Month, tena leo waja na 1 to 8 months!

Sasa unakuwa hueleweki, inaonekana mna mihela tu (bora isiwe from EPAs etc) na hamaja jipanga vizuri kabisa!
 
Back
Top Bottom