Mikopo CRDB na NMB

Mikopo CRDB na NMB

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,421
Kwa wale mlio katika utumishi wa umma. Je, inawezekana kukopa katika taasisi hizo kwa wakati mmoja kama take home inaruhusu?
 
haiwezekani kwani 1/3 haitakubali
Kwa mfano una mkopo NMB halafu ukapanda daraja means take home inaongezeka, vipi hapo haiwezekani kukopa CRDB pesa kiasi??

Shida ni kuwa NMB hawatoi deni ili ntu auze mkopo
 
Inawezekana. But ubakiwe na 1/3 ya mshahara. Hili ndio hitaji kubwa la kisheria toka kwa mwajiri wako au simply katika utumishi wa umma

Zala Na Nga
 
Inawezekana kukopa hata kwenye Taasisi 100 kikubwa ubaki na 1/3 yako kwenye take home.
 
Back
Top Bottom