Mikoba ya wadada siku hizi inaficha mengi!

Mikoba ya wadada siku hizi inaficha mengi!

Dildo for emergency... Huyo ni kama spare tair si unajua wala chips mayai sikuhiz kazi hawawez....
 
Nimeshangaa sana kwanza kwahyo picha then hizi comment zenu wengi wanatetea oohh emergency, emergency for what? shuhuli ya harusi unabebea dildo? ili iweje maana pale si kwamba ukimuona cjui fulani ana six pack utaanza kuwa horny maana kwenye harusi watu wanakaa pair na hata hao ambao hawana pair hawana muda wa kujisimamisha simamisha tukikaaga tunakata maji tunamngoja emcee aseme mda wa kula tukale,,, otherwise mnamvutia pichA bwana harusi
 
Hizo ni za kufundishia uvaaji wa condom, msipotoshe watu
Tunajua hilo na ndiyo madhumuni yake but watu wasio waaminifu wameongeza matumizi mengine tofauti na ufundishaji wa uvaaji wa condom sisi tuna ushahidi na hayo field hatuandi tu kufurahisha MTU,na tunalaani matumizi mabaya ya hizo modo za penis
 
Back
Top Bottom