je kuna vigezo vyovyote?
vigezo nikuwa mabilionea wa dar wamewekeza kwenye biashara zinazoonekana wakat mabilionea wa arusha wamewekeza kunywesha watu bar pia arusha bilionea ni kama a.k.a ukiwapa watu ofa bar wanakuita bilionea ukiwa na duka la kubani cd wanakuita bilionea
hivi bilionea yahaya anaishi wapi?mabilionea wa ukweli ni Dar na mabillionea wa uongo Arusha
Wakuu naombwa kujuzwa katika nchi yetu ya tanzania je kuna mikoa gani ambayo ndani yake kuna wapiganaji na mabilionea wa ukweli? ?
hivi bilionea yahaya anaishi wapi?
Mabilionea wote wako Arusha..
Mabilionea wa ukweli wako Arusha, achana na wa Dar wanaouza juice. Afu Money Stunna una nini na Arusha? Let the truth prevail bhana.