Mikoa yenye mabilionea wa ukweli ni ipi??

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Wakuu naombwa kujuzwa katika nchi yetu ya tanzania je kuna mikoa gani ambayo ndani yake kuna wapiganaji na mabilionea wa ukweli? ?
 
je kuna vigezo vyovyote?

vigezo nikuwa mabilionea wa dar wamewekeza kwenye biashara zinazoonekana wakat mabilionea wa arusha wamewekeza kunywesha watu bar pia arusha bilionea ni kama a.k.a ukiwapa watu ofa bar wanakuita bilionea ukiwa na duka la kubani cd wanakuita bilionea
 
kama ni hivyo itabidi wa tz tubadilike

lakini hata huku lindi kuna mabilionea wadogo pia
 
Cjakuelewa unauliza wezi ama watu bilionea. Arusha wezi wala riba Dar wakwepa kodi tu. Hakuna wawajibikaji wee huoni wanavyo uana kwa kudhulumiana. Bilionea wana viwanda Rostam IGUNGA SSB DAR MO Singida. WEZI WA MAGARI NA MAJAMBAZI BILIONEA KHA
 
Back
Top Bottom