Tunashauriwa tusidhulumu hufuki kokote lakini kuna watu saiv ni matajiri wakubwa kwa wizi hii ikoje?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Ukweli ni kwamba dhuluma ni dhambi kama vile wizi wa Mali za umma, Mali binafsi kwa namna ile ya ufisadi. Ni nashangaa kuna watu wana pasua anga kwa wizi huu huu na saiv ni wana Mali na ni mabilionea ikibidi. Hivi hawa jamaa wana kinga dhidi ya Laana endapo umedhulumu kwa njia ya wizi? Msaada mwenye kujua.
 
Back
Top Bottom