Mikoa ya Pwani ina laana ya mvua, imegoma wakati bara mvua zinanyesha?

Mikoa ya Pwani ina laana ya mvua, imegoma wakati bara mvua zinanyesha?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Msimu wa Christmas huwa ni mvua
Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
 
Msimu wa Christmas huwa ni mvua
Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
Pwani ya tz pana, pwani ipi unazungumzia?
 
Msimu wa Christmas huwa ni mvua
Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
Umeanza na laana umemalizia na sayansi!

Au laana ni sehemu ya sayansi?
 
Huku bwelele mvua unanyesha pole pole
Hali ya hewa safi
Mungu fundi
 
Umeanza na laana umemalizia na sayansi!

Au laana ni sehemu ya sayansi?
Vyote kwa kila mtu na imani yake , but science is "OMNIPOTENT"
Anyway Philosophy is a branch of science that comes in to provide answer where science fails to explain the observed phenomenon and that si when laana comes in! 😄😆😁😅😃

Au nakosea
 
Ina maana haujui Misimu ya mvua ya ya nchi hii
Njoo uulize mwezi wa 3 mpaka wa 5.pwani hatuna mvua za mwezi wa 12 itokee tu
 
Ina maana haujui Misimu ya mvua ya ya nchi hii
Njoo uulize mwezi wa 3 mpaka wa 5.pwani hatuna mvua za mwezi wa 12 itokee tu
Vuli ipo kila mahali na mwaka jana ilikuwepo tukavuna sana. Mwaka huu hakuna
 
Back
Top Bottom