Mikoa ya kuanzia maisha

mkoa wowote uliopo pembezoni bado kun fulsa nyingi sana kuliko mijini. lakini usiende mikoa kama Kilimanjaro, Arusha, lakini waweza kwenda Manyara kule bado kunaendelea. Mikoa kama ruvuma, Lindi na Mtwara nk. mimi kwa sasa nipo Ruvuma.
 
Mdau kauliza kispoti kwa sababu hapa ni kijiweni, sio kwamba hawezi kulicomplicate swali. Amechochea mjadala tu.
Kimsingi inategemeana na nini umesoma au nini unataka kufanya. Kuna vitu ili ufanikiweinabidi uwe kwenye majiji makubwa kama Dizim, Mwanza, Arusha etc. kwa mfano kama wewe ni advocate unayeanza ukienda Katavi utafulia sana wakati Dizima utapata dili za kuanzia maisha kirahisi. Ukiwa mwalimu au mtumishi wa daraja la kati serikalini ukienda Katavi una uwezekano wa kupanda vyeo kirahisi na kumudu maisha kirahisi. Kwa hiyo mpira ulingoni akili kichwani...
 
Sijaelewa kitu kumoja, umesomea ualimu, Kituo cha kazi unachagua wewe au unapangiwa?
Kama unataka kufanya kitu kingine tofauti na kingine, hicho ndio kitaamua utakifanyia wapi.

Tukikwambia nenda morogoro, ukapangiwa kazi lindi utaacha kwenda kwa sababu tumekushauri hivyo?

Dar, Singida, Morogoro, Mbeya, Mwanza in short mikoa yote kuna watu wameendelea na kuna masikini wa hali ya juu.
Kwa hiyo suala sio mkoa, inaanza na wewe na unataka kufanya nini.
 
what about Dar City? ukiishi chanika ama charambe si kama uko mkoa
 

kumbe ndo mana ulisoma ualimu. We ni kilaza.
 

Zea yu aRE Sir.,BIG LIKE
 
Kama ni ushauri, nadhani umeishaupata mwingi tu, ila mwisho wa ck wewe ndo mwamuzi na mtekelezaji. Kwa ujumla "Maisha ni popote" Songa mbele wewe ni graduate! :confused2:
 
morogorohasa wilaya ya ifakara na kilombero,
 
Swali alilouliza Ni la msingi, nisingemshauri aanzie maisha kilimanjaro kama anataka kutoka fasta! Unaweza jikuta unafanyia kazi Kula pekeake! Hata hivyo sidhani kama utakuwa na option ikiwa unafanya kazi ya kuajiriwa!
 
Unaweza kuzungukwa na fursa 100 na usiweze kuzitumia na ukaenda panapodhaniwa hapana fursa na wewe ndio ukawa wa kwanza kuziona na kuzitumia. Maisha popote coz kokote utakapoenda utawakuta watu. La msingi ni juhudi kwa kila unachoamua kufanya.
 
Nenda Kigoma wilaya ya Kasulu pale kuna fursa nyingi kule Kegerankanda, makere, mvugwe na nyamidaho. Pia utaweza kulima kahawa kule heru juu. Pamoja xana mimi ni mkulima wa mahindi na kambaranga kasulu; nina uwezo wa kula vizuri kwa elfu 50 kwa mwezi, maziwa lita 5 sh.1500, ndizi, viazi, maharage nk. Kama hujaajiriwa nenda kalime.
 
chuo kukuu!!!tafadharini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…