Mikoa ya baridi inawahusu hii

Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
2,294
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
2,294 2,000
Hii baridi Ni kero
Kuoga Ni lazima tuoge ila mimi Mara nyingi naoga maji ya Moto..nikioga ya baridi siishi kuumwa kifua
 
Ngareroo

Ngareroo

Member
Joined
Aug 11, 2019
Messages
96
Points
225
Ngareroo

Ngareroo

Member
Joined Aug 11, 2019
96 225
Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
 
uujn

uujn

Senior Member
Joined
Mar 24, 2019
Messages
134
Points
250
uujn

uujn

Senior Member
Joined Mar 24, 2019
134 250
Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
unajikung'uta kama mbwa...
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,059
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,059 2,000
Niliifanya sana kipindi mdogo wakati nakaa ule mji wenye baridi.

Uuwiii. Yaani nikitoka tena Mama ndio awe kakaa ninapopita basi najitetemesha na kujikunyata kama mwili mzima umepata maji vile. 😀😀😀
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
31,059
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
31,059 2,000
Hahaha Noma sana Shadeeya!Mkoa gani huo?
Huko ulikosema unajikumuta kama mbwa. 😀😀😀 Enzi hizo niko Primary. Uuwiii sikuwa naweza kabisa hasa asubuhi tena ile miezi ya baridi.

Labda yawepo maji ya moto.
 
Ngareroo

Ngareroo

Member
Joined
Aug 11, 2019
Messages
96
Points
225
Ngareroo

Ngareroo

Member
Joined Aug 11, 2019
96 225
Huko ulikosema unajikumuta kama mbwa. í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Enzi hizo niko Primary. Uuwiii sikuwa naweza kabisa hasa asubuhi tena ile miezi ya baridi.
Labda yawepo maji ya moto.
Duuuh ni kisanga robo3 asee..!!Mwezi wa6,7 tulikua tunashinda na Ma blacket tu yaani baridi ni atari sana.
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
5,350
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
5,350 2,000
Uku Chuga mbona atufanyi ivo?Ukifika unasimama usawa wa Bomba then unafumba macho alafu unahesabu 123 unafungulia Bomba whaaaaaa.!!baada ya hapo hujifuti na taulo ila unajitikisa kama Mbwa hadi unakauka.
Eti unajitikisa kama mbwa we jamaa fala sana
:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Forum statistics

Threads 1,325,458
Members 509,127
Posts 32,193,069
Top