Mikoa wa Katavi na Rukwa ni kiboko

na ukiangalia ndio mikoa maskini ya kutupwa.
Hapo sasa! Hizo powers ndiyo wazungu na wahindi, wachina NK, wazitumia kuleta maendeleo katika nchi zao! Ehh Maulana Mola wangu nisaidie!
 
Hapa nahisi ni kutishana tu, mbona mimi nilitembelea huko lakini mpaka nimeondoka sijakutana na kimbwanga hata kimoja!?
 
Tunaoishi huku tunaishije??

Ndio tuwaulize nyinyi sasa mnaishi vipi mkuu?

Kama ni stori za uzushi uwanja ndio huu jimwage hapa watu tujue ukweli maana tunaambiwa huko kunguru wananyakua ng'ombe halafu inadondoka mifupa ya ng'ombe tu.

Swanga si kwa mchezo mchezo.
 
Mnatetea uchawi
 
Mnaamini stori za mitaani zisizo na msingi.!
 
Sikatai ushirikina upo ila sio kuwa na imani ya kuhusianisha kila kitu na ushirikina. Yaani kwa sababu unaskiaga huko kuna ushirikina basi unahusisha kila kitu na imani za kishirikina? Kama ni hivyo kanda ya ziwa hutoweza kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…