Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,674
- 55,949
Makamu wa Raisi amesema umasikini upo vijijini zaidi.Pia mikoa yenye wananchi masikini zaidi ni Kagera,Tabora na kigoma.Inakuaje Kagera nayo inakua hapo na wasomi wengi?
Unaongelea Kilimanjaro ipi..kule si ndio njaa imetamalakiYaani ukitoa Kilimanjaro, mikoa mingine ya Tanzania ni majanga matupu kwa sehemu kubwa. Kiujumla kwa sehemu kubwa ya nchi kuna harufu kali ya umaskini. Bado kuna kazi kubwa ya kufanya. Serikali izidi kupambana sana kwenye miundombinu, kilimo na elimu. Watu wengi wakipata elimu bora watapambana kujikwamua. Hata Kilimanjaro walitanguliza elimu ndo maana wako hapo walipo.
Kusoma Sana ni chanzo cha umaskini,, wenye hela wengi ni wenye elimu za kawaida na darasa la 7.
Wasomi matajiri ni wa kumulika na tochi
Itakuwa Kuna watu kule hawataki ndiziKagera wanawasingizia tu
Dodoma Vijijini labdadodoma ilipaswa iwe kinara apo ifwatiwe na mdogo wake singida
ndio ni vijiji vinazungumziwa, mijini hatuna shida nakoDodoma Vijijini labda
tajiri pekee wa kihaya ni said karoli!!!IShomire punguza munkari.
Mnamajigambo sana nilitegemea Kagera iwe namba moja kiuchumi kumbe ziro, siro, sifuri, sufuri
Unamanisha nini!?Kule bukoba kuna ka mini 'Rio de janeiro'
Hamna kitu Kila Siku nawaambiaga waje Kilimanjaro tuwafundshe uchumi wanakuwa wabishiWahaya mbwembwe nyingi kumbe kwenu hakuna kitu
Alafu eti walikuwa wanaleta battle na Kilimanjaro,niliwanyorosha mnoWasomi wengi wa Kagera hawarejei makwao kuendeleza jamii zaoo.
Kuongezeka kwa umasikini kumechangiwa na mabadiliko ya tabia nchii
Niliwanyorosha walipotaka kujilinganisha na Amsterdam (Kilimanjaro) Yani Kilimanjaro vijijin ndio Raha kuliko mjiniuzi ufutwe itakuwa mabishano kwa kingereza ngoja waje wahaya.
Ni Kweli kbs Kagera vijijn Kuna umaskini mkaliKila ripoti inayotoka kuhusu umasikini kagera hawachomoki,mi sielewi wachumi hutumia vigezo gani?kuhusu Kigoma na Tabora hilo halishangazi tena nadhani ni masikini duniani
Ratio ya vijiji vya wachaga vimejengeka mno kinachowaponza wahaya ni population ya mkoa wao,wananchi wengi alafu Hali ngumuSio kweli hakuna watu wanajenga kwao kama wahaya na wachaga,
[emoji2][emoji2][emoji2]Kule bukoba kuna ka mini 'Rio de janeiro'
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]tajiri pekee wa kihaya ni said karoli!!!
Unamanisha nini!?