instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,419
- 14,286
Ok huko nako unajifanya mbishi.hiv hujiulizi Kwa nini watoke kabila moja Tu.Naamini wewe ni msomi,kuna Makabila yanaweza kutoa mwanasayansi mmoja tu hadi akaenda mwezini,ukienda mwezini si kwamba kabila lote limeenda mwezini,ukiwa Papa si familia yote,au kabila lote ni papa.Papa anatoka Agentina je tusemi hilo taifa somi zaidi Duniani?.Obama kuwa Rais wa Marekani,na kuwa Mshindi wa Tuzo ya Amani Ya NOBEL.kuna wafanya wajaluo kuwa ndio jamii ya wasomi na bora kuliko wote Kenya?.Sidhani kuwa waliofanya utafiti walizingatia idadi tu ya Maprofesa walioko huko ulipotaja.Narudia usomi ni nyanja Pana sana si PhDs pekee.Majigambo hayabadilishi ukweli siyo.
Hebu angalia idadi ya watu wa kagera vyuoni.
Angalia wanaomaliza form six
Angalia idadi ya waalimu nchini
Angalia idadi ya wanasheria, madokta na mainginia.halafu uniambie wahaya ni wangap.
Vip ulishawahi ona mkoa wa kagera unatoka ten best miaka yote hii .hebu tafuta mwaka ambao kagera haipo tenbest katika matokeo ya form four au darasa la Saba.
Mkoa wa kagera unazidi hata dar Kwa idadi ya wanafunzi wa primary.
Kagera ni mkoa ambao hata wakina mama machinga wanasomesha watoto wao private refer TO wa la saba mwaka Jana .mama yake ni muuza vitumbua.
Nenda vijijini huko ndani utazame ukoo ambao hauna mtu mwenye degree tuona kama utampata.
NB. Inaonekana unawadharau wahaya anyway labda Kwa kuwa unaona baadhi wanajiuza au sijui wakabaji .hao ni asilimia ndogo Sana Kati ya wahaya na ndo hao waliokimbia uhayan miaka ya 80 .l