ina maana wabunge wa tabora hawapiganii mendeleo ya huo mkoa tangia tupate uhurutabora ndiyo nambari one; mkoa ambao haujanunganishwa kwa lami na mkoa wowote; barabara tope; uwanja wa ndege tope; train ya wahindi; elimu ya kusuasua: Mungu tusaidie
Ni mikoa ipi ina hali ya kutisha ,umaskini wa huduma miundombinu nk.
Ni mikoa ipi ina hali ya kutisha ,umaskini wa huduma miundombinu nk.
Ukiacha Mwanza (biashara ya minofu ya sangara), Arusha na K'njaro (Tanzanite na wanyamapori) mikoa iliyobaki yote masikini.
uchawi nao ni huduma kumberukwa sababu kubwa ni uchawi
Umaskini wa nini - kipato (income), huduma za jamii (hospitali, shule....) au utawala bora (governance)?
tabora ndiyo nambari one; mkoa ambao haujanunganishwa kwa lami na mkoa wowote; barabara tope; uwanja wa ndege tope; train ya wahindi; elimu ya kusuasua: Mungu tusaidie
Ahaaaa, Jiji letu Balaa Mwanza tunaomba miundo mbinu ije liwe jiji
Tuombe radhi tafadhali, kwani uchawi ni Rukwa tu? Mbona upo kila sehemu, Rama mla vichwa nae katokea Rukwa?? Kwa taarifa yako sisi sio masikini japo tumetengwa kiaina....rukwa sababu kubwa ni uchawi
Mwanzisha thread inabidi atambue kuwa umasikini ni dhana pana.
So, kabla ya kumwaga thread yake ange-define ni umasikini gani anaotaka tuuongelee.
Mfano....ukiangalia nchi kama Brazil, Germany, France, Italy, Russia zinatajwa kwenye the list ya 10 world's biggest economies lakini ukienda kule kwenye 10 richest countries huzioni hizi (unakuta vijinchi kama Luxembourg, Qatar, Kuwait).
Kinachosababisha hizi contrasting statures ni criteria zinazotumika.
So, mwanzisha thread tupe vigezo kwanza!

Mkuu hii thread naifananisha na vile vipima joto vya ITV, havina kichwa wala miguu., so is this thread. Ni sawa kumpa ukumbi kila mtu atoe uharo wake.
Unaifahamu vizuri dhana ya umasikini? Unapotaja mikoa yenye utajiri mkubwa tz iringa inawekwa namba mbili ukianza na arusha!!