Mikoa inayoongoza kwa umaskini Tz !

1. Dar es salaam
2. Pemba
3. Katavi

wengine waendelee, nimetaja hiyo mikoa kutokana na hadhi za hiyo mikoa pamoja na usumbufu wanaopata wananchi katika shughuli zao za kila siku ikiwa ni pamoja na kupata maji, kisafiri kwenda sehemu moja au nyingine, sehemu za matibabu kama zahanati na hospitali.
 
ni mikoa ipi ina hali ya kutisha ,umaskini wa huduma miundombinu nk.


tabora ndiyo nambari one; mkoa ambao haujanunganishwa kwa lami na mkoa wowote; barabara tope; uwanja wa ndege tope; train ya wahindi; elimu ya kusuasua: Mungu tusaidie
 
Ukiacha Mwanza (biashara ya minofu ya sangara), Arusha na K'njaro (Tanzanite na wanyamapori) mikoa iliyobaki yote masikini.
 
ni mikoa ipi ina hali ya kutisha ,umaskini wa huduma miundombinu nk.

mkuu umewahi kuishi iringa???mimi niliishi pale miaka ya 1997-1998,,kusema kweli niliamua kuacha kazi kwa
ridhaa yangu mwenyewe,,maisha ya kutisha!
 
mkuu umewahi kuishi iringa???mimi niliishi pale miaka ya 1997-1998,,kusema kweli niliamua kuacha kazi kwa
ridhaa yangu mwenyewe,,maisha ya kutisha!
Unaifahamu vizuri dhana ya umasikini? Unapotaja mikoa yenye utajiri mkubwa tz iringa inawekwa namba mbili ukianza na arusha!!
 
Hivi Tanzania kuna mkoa wenye unafuu katika hilo kweli!!!! Anyway, kiasilia mikoa yote ya Tanzania ni tajiri sana ila imekosa sera nzuri za kuweza kuisukuma kimaendeleo.
 
Mtwara,Lindi,Kigoma,Rukwa,Ruvuma

Hivi ni nani anawaambia mtwara ni maskini??yaani mawazo yenu ya 70's bado mnayo hadi leo??hembu tembeleeni huko South halafu mje hapa jamvini mfute kauli zenu!! Huu ndio mkoa ambao hata usikie Tanzania nzima ipo gizani/sijui mgao wa umeme,huu utakuwa pekeyake unashine kwa umeme,Na Gesi ikiianza kuchimbwa kule ndio non-stop!!
 
Tukishajua kuna njia muafaka za kuukwamua au ndo kuongeza thread?ni vyema kuujadili umaskini wa Tanzania in general na mikakati madhubuti ya kuondokana na lindi la umaskini kwani tukishuka katika mikoa kesho mtu atataka kujua katika mkoa huo kaya,ukoo au familia gani maskini mkoa mzima...haisaidii
 
mkuu umewahi kuishi iringa???mimi niliishi pale miaka ya 1997-1998,,kusema kweli niliamua kuacha kazi kwa
ridhaa yangu mwenyewe,,maisha ya kutisha!

mmeku wangu nimewahi kuishi pale wakati nafanya tertiary education kuna kuchangamka fulani coz of many colleges ,na nliyapenda mazingira na hali ya hewa binafsi kati ya mikoa yote nliyowahi ishi nlipenda Iringa hata ajira yangu ya kwanza nilianzia kule mm ni wa kilimnjr,ndo hayo nnayosema ni umasiki tu ila mikoa yote ni mizuri
 
Ni mikoa ipi ina hali ya kutisha ,umaskini wa huduma miundombinu nk.

Dodoma inaongoza!hakuna barabara nzuri zaidi ya Morogoro road na Singida road,zote zilizobaki si za kuunganisha Mitaa,Kata,Wilaya wala Mikoa jirani zinazopitika kwa urahisi hata kipindi cha KIANGAZI!
 
Back
Top Bottom