Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Mie sio great-thinker bana. We endelea kukusanya uharo.wewe ndo una uharo unakuwaje Great thinker hujui umaskini umegawanyika katika makundi gani!na sikwambii endelea kuhara
Mie sio great-thinker bana. We endelea kukusanya uharo.wewe ndo una uharo unakuwaje Great thinker hujui umaskini umegawanyika katika makundi gani!na sikwambii endelea kuhara
Mie sio great-thinker bana. We endelea kukusanya uharo.
Nawe wapenda kukusanya.naona unaendelea kujiharishia tu
Kwa jinsi thread ilivoletwa this is exactly what should be expected.naona kila mtu anataja tuu anavyojisikia.
nani ana takwimu hapa?
Ni kweli, lakini nashangaa ndio mikoa inayaongoza kwa utapiamlo, samahani nimepita tuUnaifahamu vizuri dhana ya umasikini? Unapotaja mikoa yenye utajiri mkubwa tz iringa inawekwa namba mbili ukianza na arusha!!
Nakusubiri...Bahati nzuri nimetembelea na kuishi takribani mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani na wilaya zake isipokuwa mafia kisiwani ukerewe,nkasi na ngorongoro Namshukuru Mungu sio Tanzania tu afrika ya mashariki na eneo kubwa la maziwa makuu nalijuwa vizuri. Naweza kuwa naijuwa Tanzania kuliko hata JK ,Prof. Lipumba na Dr. Slaa Orodha yangu ya Top 5 utajiri maendeleo na miundo mbinu
1. MWANZA(samaki,Dhahabu,Almasi,Pamba na Mifugo)
2.ARUSHA(Utalii,Tanzanite,Kikombe nitamalizia
Hivi ni nani anawaambia mtwara ni maskini??yaani mawazo yenu ya 70's bado mnayo hadi leo??hembu tembeleeni huko South halafu mje hapa jamvini mfute kauli zenu!! Huu ndio mkoa ambao hata usikie Tanzania nzima ipo gizani/sijui mgao wa umeme,huu utakuwa pekeyake unashine kwa umeme,Na Gesi ikiianza kuchimbwa kule ndio non-stop!!
Dodoma inaongoza!hakuna barabara nzuri zaidi ya Morogoro road na Singida road,zote zilizobaki si za kuunganisha Mitaa,Kata,Wilaya wala Mikoa jirani zinazopitika kwa urahisi hata kipindi cha KIANGAZI!