Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Waeleze hawa vijana wanafikiri hii nchi imeota kama uyoga. Wataanza kulia nyau sasa hivi.

AAfENUG.img

Hako Ka-Jambazi Sugu kameshakubali
kwenda kuchunga ng'ombe Monduli
Uchaguzi utapita na utajipata pale unatakikana kuwanga, i wish you will enjoy it
 
Waeleze hawa vijana wanafikiri hii nchi imeota kama uyoga. Wataanza kulia nyau sasa hivi.

AAfENUG.img

Hako Ka-Jambazi Sugu kameshakubali
kwenda kuchunga ng'ombe Monduli
Jambazi sugu anaishi uraiani na bado kwenye mikutano yake ya kampeni na polisiccm wanamlinda?? hii kali!
 
Mkuu hii mipasho ilishapitwa na wakati kitambo ,badilisha mbinu Lowasa amewakaba koo kweli kweli mpaka mmepoteana .

Koo lipi wakati afya yake inaonyesha kuwa ni dhoofu?
 
mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??

Kwani wewe mkuu unaweza kuzomea??!
 
Msumari ulipoingia ndipo utapokea
mtu anayejinyea mbele za watu hana kumbukumbu na kuongea anashindwa lakini anawanyima usingizi?
Lowasa ndo raisi mtarajiwa hakuna mwenye uwezo wa kuzuia mpango wa Mungu mwaka huu.
wakati mwingine tunapoongea tuwe tunatumia akili. huyo lowasa unayemtukana kuwa anajinyea, ni mtu mzima, baba wa watu na pengine ni baba yako hata wewe pia. kitu cha kujiuliza ni kwanini pamoja na kwamba watz wote wamesikia kuwa anajisaidia kutokana na matatizo ya kiafya etc lakini wako tayari aende ikulu? ninyi ccm mjiulize ni kwanini? watu wanaamini hata ungeweka jiwe lipambane na ccm watu watapigia jiwe badala ya ccm, jiulizeni ni kwanini wala msimtukane lowasa. kama ni suala la kujisaidia iwe kwa kawaida au kwa matatizo ya kiafya, hilo sio suala geni, kuna watu wengi tu huko ccm wananyea ubavuni hawatumii tigo kunyeaa mimmavi tena, lakini bado wanaendelea kutumikia serikali. sumaye alisema hata rais wenu kikwete alifanyiwa uperation "marekani", ameacha hospitali za hapa mtibiwe ninyi (wewe baba yako na mama yao), kwa tatizo la tezi dume. hilo hamshangai? maccm mnazidi kufia kwenye hospitali zenu za india ila wananchi mnawaacha wafie hapahapa Tanzania, hamna aibu? halafu, unashangaa kunyaa? kwani ikulu hakuna vyoo? au unamtukana huyo baba wa watu, wewe baba yako mzazi huwa hanyi mimavi? au babako anakunya keki? huna maana kuishi katika hii dunia kabida ndugu yangu, kwasababu huna akili wala adabu.
 
Ana Ngo'ombe wengi sana ataenda kuchunga...!!
 
Watanzania wote wepi wewe?
 
Hata Obama alisema atarudi kufundisha,je alirudi?

Kama Dar ambayo ni CCM stronghold Magufuli anazomewa hawezi mshinda Lowassa!Uchaguzi umeisha huu LAIGWAN ndiye Rais mpya wa TZ

Hivi walipomaliza kumzomea walienda kwenye mkutano chake? Maana kwenye mkutano walifurika kibao. Halafu kama wanamzomea halafu baadae wanaenda kumsikiliza huoni kwamba wanaweza pia kumchagua? Utalia saaana siku siyo nyingi kwa kutojua siasa.

Siasa ni ajira ingawa ni ya muda
 
mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??

Waende wakapige kura tarehe 25/10/2015 wamchague huyo wamtakaye na sio kuzomea watu,,hasira wakamalizie kwenye box la kura na si vinginevyo.
 
JF ya sasa watu wanaona sifa kuandika ujinga. ujinga umekua priotitized
 
Hivi walipomaliza kumzomea walienda kwenye mkutano chake? Maana kwenye mkutano walifurika kibao. Halafu kama wanamzomea halafu baadae wanaenda kumsikiliza huoni kwamba wanaweza pia kumchagua? Utalia saaana siku siyo nyingi kwa kutojua siasa.

Siasa ni ajira ingawa ni ya muda
Usidanganyike na TAFITI za January Makamba wa TWAWEZA ndugu yangu!Laigwan Rais Jumapili usiku
 
Hata Obama alisema atarudi kufundisha,je alirudi?

Kama Dar ambayo ni CCM stronghold Magufuli anazomewa hawezi mshinda Lowassa!Uchaguzi umeisha huu LAIGWAN ndiye Rais mpya wa TZ
Tunawashukuru sana wananchi kwa kuiamini UKAWA .
 
Back
Top Bottom