Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

Lowassa tayari kakubali kwenda kuchunga ng'ombe monduli, biashara imeisha, kapima upepo kagundua hii ndio suluhu yake!Hongera sana

Wewe ni kinembe! Kulikuwa na kosa gani kusema atarudi kijijini? Wanawake wengine mkoje lakini?
 
Ndio wajue kuwa maisha na uhai wa mtu ni dhamana ya MUNGU.unaweza ukajina uko poa ukapata ajali na ukafa
 
ccm wameamua kunyosha mikono juu baada ya magufuli kuzomewa ubungo
 
Lowassa tayari kakubali kwenda kuchunga ng'ombe monduli, biashara imeisha, kapima upepo kagundua hii ndio suluhu yake!Hongera sana

ccm ni kama kenge! kufa kwa kenge mpaka damu imtoke masikioni
 
Hata Obama alisema atarudi kufundisha,je alirudi?

Kama Dar ambayo ni CCM stronghold Magufuli anazomewa hawezi mshinda Lowassa!Uchaguzi umeisha huu LAIGWAN ndiye Rais mpya wa TZ

labda Rais wa wafugaji hapo sawa.
 
mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??
 
mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??

Hao wote watakamatwa uzururaji jmosi na jpili yote watakuwa ndani wataachiwa jtatu jioni.
 
Waeleze hawa vijana wanafikiri hii nchi imeota kama uyoga. Wataanza kulia nyau sasa hivi.

AAfENUG.img

Hako Ka-Jambazi Sugu kameshakubali
kwenda kuchunga ng'ombe Monduli

Mkuu hii mipasho ilishapitwa na wakati kitambo ,badilisha mbinu Lowasa amewakaba koo kweli kweli mpaka mmepoteana .
 
mimi binafsi nashangaa sana mtu anaposema waliomzomea Magufuli ni wahuni na wavuta bangi.Kwani wahuni na wavuta bangi siyo wapiga kura??au siyo watanzania??

Utaendelea kushangaa hadi siku ya mwishoo...na mwanaume hashangai kama unavojieleza hapo
 
Yaani ubungo ndio DSM, na mbagala ni wapi, posta, kino, mikochen,mbezi, mwenge, makongo, ????????huko kote ni Arusha??Kuzomea ni uhuni haimaanishi ni dalili ya kufanikiwa,Rika linalomuunga mkono mamvi ni miaka 15-25 walio wengi na hizo ndio tabia zao, vijana watu wazima 25+ hawawezi kufanya upuuzi huo!
Narejea tena hili, mashabiki wa simba kuzomea kocha wa Yanga haimaaanishi Yanga itafungwa mechi, matokeo yapo uwanjani, wala haimaanishi kuna shabiki wa Yanga atahamia Simba kwa kuwa kocha wao kazomewa!

Unajua hata nyie mikutano yenu mingi huwa zaid ya 40% ni watoto kuanzia miaka 9-17, 20% wanachama wa ccm ambapo 50% ya 20% wanamtazamo tofaut katika kiti cha urais, alafu hiyo 40% iliyobakia ni ya wananchi wa kawaida ambao wameletwa na malori na mabasi kwa ajili ya 10,000 pamoja na tshirt na kofia.

Mwaka huu hamna pa kutokea... ndo kifo cha Chama Cha Matatatizo
 
mkutano utakuwa wa kuwakaribisha wamasai uchwara toka sehemu za arusha hasa mkoa wa manyara waliofadhiliwa na ole sendeka na ccm yake kuja dar kummalisa el .mungu yuko nasi hata ieweje wamechelewa kwa hizo propaganda

jipangeni kwa 2020
 
Ajali si madhara. Kuwa makini unapopotosha.

Madhara ni kama kujinyea mbele za watu. Kutokuwa na kumbukumbu, kushindwa kuongea.
Msumari ulipoingia ndipo utapokea
mtu anayejinyea mbele za watu hana kumbukumbu na kuongea anashindwa lakini anawanyima usingizi?
Lowasa ndo raisi mtarajiwa hakuna mwenye uwezo wa kuzuia mpango wa Mungu mwaka huu.
 
Waeleze hawa vijana wanafikiri hii nchi imeota kama uyoga. Wataanza kulia nyau sasa hivi.

AAfENUG.img

Hako Ka-Jambazi Sugu kameshakubali
kwenda kuchunga ng'ombe Monduli

Hizi ndio post za watu walioishiwa kisiasa.
 
Back
Top Bottom