Mkutano utakuwa wa kuwakaribisha wamasai uchwara toka sehemu za arusha hasa mkoa wa Manyara waliofadhiliwa na Ole sendeka na ccm yake kuja dar kummalisa EL .Mungu yuko nasi hata ieweje wamechelewa kwa hizo propaganda
Wakuu,
Leo saa Saba mchana, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es Salaam.
Nitawaletea moja kwa moja kile watakachokuwa wanakizungumza wa ajili ya Watanzania.
Hata Obama alisema atarudi kufundisha,je alirudi?Lowassa tayari kakubali kwenda kuchunga ng'ombe monduli, biashara imeisha, kapima upepo kagundua hii ndio suluhu yake!Hongera sana
Tunakusubiri Mkuu. Waeleze pia madhara aliyoyapata Nape Nnauye kwenye ajali ya gari leo hii
Waeleze hawa vijana wanafikiri hii nchi imeota kama uyoga. Wataanza kulia nyau sasa hivi.
![]()
Hako Ka-Jambazi Sugu kameshakubali
kwenda kuchunga ng'ombe Monduli
Ajali si madhara. Kuwa makini unapopotosha.
Madhara ni kama kujinyea mbele za watu. Kutokuwa na kumbukumbu, kushindwa kuongea.
Kuna mtu kajinyea?Ajali si madhara. Kuwa makini unapopotosha.
Madhara ni kama kujinyea mbele za watu. Kutokuwa na kumbukumbu, kushindwa kuongea.
Hata Obama alisema atarudi kufundisha,je alirudi?
Kama Dar ambayo ni CCM stronghold Magufuli anazomewa hawezi mshinda Lowassa!Uchaguzi umeisha huu LAIGWAN ndiye Rais mpya wa TZ
Hakn llt ni propaganda tu wanataka kueneza lkn wamechelewa
Ajali si madhara. Kuwa makini unapopotosha.
Madhara ni kama kujinyea mbele za watu. Kutokuwa na kumbukumbu, kushindwa kuongea.
Hata Obama alisema atarudi kufundisha,je alirudi?
Kama Dar ambayo ni CCM stronghold Magufuli anazomewa hawezi mshinda Lowassa!Uchaguzi umeisha huu LAIGWAN ndiye Rais mpya wa TZ
Hii ndio ile ya kumkaribisha KIONGOZI MKUU wa Bavicha au nyingine..?
unabokolewa nini wewe?