Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu nice kila siku ananiumiza lakini sikomi
Leo ile hela ya mwisho ya mshahara anaimalizia yeye🥹
Ndio kwanza taraehe 31
Jaman tubeti kistaarabu yamenikuta wiki hii🥹🥹🥹
Yaan hii timu sijui ikoje aisee kila nikiiamini inaniangusha,cha ajabu sasa nisipoibetia inashinda
 
Huyu nice kila siku ananiumiza lakini sikomi
Leo ile hela ya mwisho ya mshahara anaimalizia yeye🥹
Ndio kwanza taraehe 31
Jaman tubeti kistaarabu yamenikuta wiki hii🥹🥹🥹
Anakuumiza na bado unaendelea kumg'ang'ania tu Mkuu hilo ni kosa sasa jaribu kuihurumia pesa yako
 
Man city odds 2 kumpiga arsenali. Hizi odds za team 1 win tena kwa man city huwa zinatokea mara chache sana kwa EPL.
Ila nikifikiria this is betting nakosa KUJIAMINI.
 
Kama kanji anatumia majini basi ni makali Kuna game nimeziangalia zilizocheza Jana asee unaruka hapa unatumbukia kule🤣
 
Back
Top Bottom