Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watoto wa kike hao,wahini za saa kumi na kuendelea...
IMG_20191002_141611_336.jpeg
 
Hawa PLAY MASTER wajinga sana lisaa linapita sasa nime deposit hakuna pesa kwenye wallet dahhh
 
Leo naweka buku ten tuu
Slavia Prague vs Borussia dortmu -2
Genk-Napoli ---2
Liverpool. Vs Salzburg---1
Barcelona Vs inter--1

Nb Chelsea Leo atapigwa gori nyingi zaidi ya zile za majinga Yale Tottenham
Mkiliwa mnakuja humu kulalamika vipigo vimezidi

Bro usoamini kwenye direct win shiling hua linapinduka mda wowote
 
Back
Top Bottom