Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,099
- 8,847
Ndio natoka church mkuu.... Ngoja ntafute
Hahaha, I hope haukuwa umeacha mkeka ambao uko pending kabla ya kwenda church ... maana unaweza ukaanza kufikiria mkeka katikati ya ibada !!
Ndio natoka church mkuu.... Ngoja ntafute
Mimi nimewaua jana ila had saiv hawajaniwekea hela yanguwanaweka mzigo asubh ya kesho yaje baada ya kushinda
kua na subira mm mwenyew uwa wananiwekeaga asbh ila leo wameniekea saa 7Mimi nimewaua jana ila had saiv hawajaniwekea hela yangu
Ngoja nichek tena mkuukua na subira mm mwenyew uwa wananiwekeaga asbh ila leo wameniekea saa 7
Inaitwaje hyo application mkuuYah ni app boss
Kweli unayemuamini ndio anakulostisha ... of all teams sikutegemea Colchester anikoseshe hela jana ...
View attachment 460183
Ukiwa na mkeka zikaharibu timu zaidi ya moja machungu yanapungua kidogo. Tofauti na ikiharibu timu moja tuAtletico Madrid naye kachina kaishia 1.....usimlaumu PSG pekee yake sio vizuri kwa Mungu
Mkuu kwan wakituma wanaweka kwenye mpesa/tigopesakua na subira mm mwenyew uwa wananiwekeaga asbh ila leo wameniekea saa 7
Kama una mawasiliano nao wapigie,alafu,huo wa winner umeshinda,na huo wa jackpot unatakiwa ulipwe hio pesa,download ile apk yao,hio mikeka itafungukaWakuu naombeni msaada wenu kunielimisha na hii kitu ya mbet...nashindwa kuelewa hapa nimeshinda au inakuaje? maana mkeka wa kwanza kwenye status wameandika ''winner'' halafu winning 0.00 asa nawezaje kushinda 0.00? halafu huu mkeka nikiufungua haufunguki...mkeka wa pili wa jackpot kwenye status wameandika ''paid'' amount 210,100 lakini iyo hela haijaingia wala siioni kwenye account yangu..hapo wazoefu na mbet hapo imekaaje wakuu?
View attachment 460145
Mkuu nimecheza tokea jana saa 8 mchana na status nimeshinda mkeka wangu , ila ishapita zaid ya masaa 24 kimya sioni cha hela wala nini, kwakwel hii itakua mara ya mwisho nacheza kwenye kampun ya MBET kama ndo hivi ni bora niende kwenye kampun ambayo unapewa mkeka wako mkononi ukishinda unakuja ofisin unaonesha tiket unapewa hela yako kitu cha nusu saa tu....lakin sio kwa staili hii ....hela yenyewe ndogo nikishinda hela kubwa itakuwaje..imagine mtu anakaa na milioni 2 zako kwa masaa zaidi ya 24 si unaweza kwenda polisiKama una mawasiliano nao wapigie,alafu,huo wa winner umeshinda,na huo wa jackpot unatakiwa ulipwe hio pesa,download ile apk yao,hio mikeka itafunguka