Jamani premier majanga hukuuu...jamaa naona kazidiwa...sijui anaedit odd zake sijui ndonini....tunamsubili kwa hamu akiwa hewani tu muhindi leo lazima ataisoma namba...mechi za leo ni magoli tu,hamna matokeo ya bashite leo
 
Ivi izi app za kulipia VIP vipi wadau hua ni za uhakika na malipo hua ni kwa kila mwezi au?
 
poza machungu apa
 

Attachments

  • Screenshot_20170304-122100.png
    18.6 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…