Ni kwamba naanisha "Referee wa kati"
Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR??
km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE
Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho
Ukibeti hizi option maalum ni vema ukaangalia kabisa mwenyewe maana kuupata ushahidi wakati mwingine inakuwa shida. Mfano umebeti magolikipa wote waguse mpira ndani ya dakika 3 za mwanzo, hapo inabidi uangalie mwenyewe maana hakuna mtazamaji anayekariri na hata kwenye livescore hawaandiki.Ni kwamba naanisha "Referee wa kati"
Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR??
km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE
Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho
Kwenye flashscore wana text commentary wanaandika update ya matukio mbalimbali uwanjaniNi kwamba naanisha "Referee wa kati"
Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR??
km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE
Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho
Alituma liniHumu ndani mkeka pekee niliwahi kula ni Joanah alituma odd 30 sijui...
Kama uwezekano wakutuma codes tuma tu usiangalie nani atasema nini wala nini humu naamini wote tupo kusaidiana na kushauriana laasivyo tusingekuwepo humu kila mmoja angekuwa kivyakewengi wanaishi kipumbavu humu, ukiwapa timu wanataka code ukiwapa code wanataka uwaconvertie wakati na wewe una kazi zako ndo maana wengi mikeka hawachambui wanaliwa nyuma na mbele siku ya kwanza ya mwaka mpaka ile ya mwisho ya mwaka ++
Hapana Kuna wengine wanatuma makusudi kabisa alafu anakuwa nazo nyingine zenye "asilimia kubwa ya kutiki" akiisha shinda ndio wanatuma humu kutamba huo sio uungwana wote humu tupo kusaidiana na sidhani kama kila mmoja wetu anazijua timu zote vizuri kabisa na mpaka ligi zote kwa uhakika, ila tu tupo tunasaidiana na kupeana ushauri ni bora ukaacha kutuma code kuliko kuingiza chaka wenzako makusudiπ³ππππ
Sasa wewe si u Edit?
Mbona Kazi nyeiesi tu,yaani mtu akutengenezea Code anatumia muda na gharama zake za MB then simple tu ku edit nayo Kazi?
Shida inakuja kwamba Bettors wengi sio watu wa Mpira,sasa copy and paste ndio wanachofanya.
Kumlaumu alietuma Code ni sawa na kumlaumu Mzazi wako aliekusomesha then ukashindwa kujiongeza
Code zenye Ukweli kwani huku watu ndio wanacheza mpira huo?Mechi ipo keshokutwa Mie baber leo na Matokeo naweka wakati hata England zinafika na waka Mie sio Refa,Kipa wala Beki
Betting is not easy Guys,sio Sehem ya kutoboa kimaisha kama mnavyodanganya maskani mawazo.
Kama Huna chanzo cha mapato Ili ubeti basi jiandae stresses kukuuwa na kuzeeka mapemaaa
Kumbe siku hizi kuna kubet hadi referees kuangalia VAR?...π³π³π³Mkuu mm nilichek game,Refa hakuenda kuangalia yeye kama yeye zaidi ya kufanya mawasiliano tu.
kampuni gani hiiHii 218ACDC code jana ni arsenal pekee alichana, nimeedit tena ebu mjaribu kuruka nayo,
Betpawaka
kampuni gani hii
Codes za mawakala wa Kanji mbona huwa zinaonekana wazi. Kuwa makini usizoezoe kila kitu.Mnaotuma codes mbovu makusudi Mungu anawaona maisha ni haya haya
NAKAZIACodes za mawakala wa Kanji mbona huwa zinaonekana wazi. Kuwa makini usizoezoe kila kitu.