Msaada jamani kila nikijaribu kudeposit 1xbet kwa kutumia mpesa (vodafone) sifanikiwi. Inanidirect hadi kwenye kuweka password kwenye mpesa lkn nikishaingiza hiyo password ili kukamilisha malipo transaction haifanyiki (pesa haikatwi kwenye mpesa kwenda 1xbet) ila the same process nikifanya kwa kutumia tigo pesa ni chap kwa haraka. Shida ni nini wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…