Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Mike Tyson sasa ataitwa Michelle: bingwa wa ndondi wa zamani anadaiwa kubadilisha jinsia yake kutoka ya kiume na kuwa ya kike, inadaiwa kuwa tayari ameishafanyiwa upasuaji katika hospitali moja huko Marekani, hii imeripotiwa na mitandao tofauti tofauti, pia gazeti la The Standard. Vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu akisema itakuwa amekamilisha ndoto yake pale atakapoanza kuona siku zake (hedhi), na kusema kuwa ili kukamilisha dhamila yake ya kuwa mwanamke' jina lake ataitwa Michelle. Habari zilizoenea mitandaoni, wanasema tayari ameishafanya marekebisho ya sura yake, pamoja na rangi ya mwili wake ili aweze kuwa na mwonekano wa kike wa kuvutia wadau. Jamaa waliokaribu naye wanasema tayari kuna mabadiliko kwenye mwenendo na tabia zake; ameanza kuwa mpole, na pia uvaaji wa mavazi. My take: huyu ndugu yetu Mike Tyson (Michell) alishawahi kuhukumiwa kwa kosa la ubakaji, Je itokea naye akafanyiwa kitendo hicho itakuwaje?
kbm.....nafikiri hajafanya operesheni lakini anataka awe kwenye chati za khabar kwa vile yuko Holywood......
Last edited by a moderator: