Mkongwe Mike Tyson afikiria kurejea ulingoni kupigana tena

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,779
6,603
Mkongwe wa mchezo wa ndondi, Mike Tyson ambaye ana umri wa Miaka 58 inadaiwa anafikiria kurejea ulingoni kupigana baada ya kupoteza pambano dhidi ya Jake Paul (28) iiwa ni mara ya kwanza baada ya kustaafu miaka 20 iliyopita.

Licha ya pambano lake lililopita kukosolewa na wengi lakini lilikuwa na mvuto na lilitazamwa na zaidi ya Watu Milioni 100 kupitia Netflix.

Inadaiwa kuwa Tyson anapanga kupigana na mkongwe mwenzake, Evander Holyfield (62) ambaye alipigana naye mara ya mwisho Mwaka 1996 kisha pambano likamalizika Raundi ya 11 baada ya Tyson kumng’ata sikio Evander.

Holyfield anaye alijaribu kurejea ulingoni Mwaka 2021 kwa kupigana na Mwanamichezo wa mapigano ya MMA, Vitor Belfort (47) kilichotokea Bondia huyo alikubali kichapo katika Raundi ya Kwanza.


=============== ============​

Mike Tyson, 58, considering fighting AGAIN after Jake Paul bout for grudge match 30 YEARS in the making

MIKE TYSON could be set for another controversial comeback fight.

Heavyweight great Tyson came out of retirement in November after 20 YEARS out to face YouTuber-turned-boxer Jake Paul.


The fight faced heavy criticism amid the 30-year age gap but still over 100MILLION watched Paul's underwhelming points win on Netflix.

But according to actor and martial artist Paulo Tocha, Tyson could yet fight once more for a trilogy with Evander Holyfield.

Tocha told The Mirror: “At the end he kind of let us know there's another one coming.

“Let me put it this way, if Tyson trains correctly and prepares himself, he should take on another fight.

"A more serious fighter, a more serious opponent, and a bigger money maker. Most probably it's going to be Evander after all.

"He and Evander - after what happened to his ear and all that. So most probably it'll be something like that."

Holyfield stopped Tyson in 11 rounds of their first fight in 1996.

But their rematch a year later became infamous after Tyson BIT Holyfield's ear and got himself disqualified.

In the years following, the two made up and became unlikely friends.

Holyfield, 62, himself had a return fight in 2021 but it ended in disaster as he was stopped in one round by MMA star Vitor Belfort, 47.

Source: The Sun
 
Alisahau nini ulingoni ambacho hakukifanya kipindi kile cha ujana? Atafia ulingoni aache masikhara!
 
hapo itakuwa ni ule mpunga wa waarabu.
umemdatisha..maana siku za nyuma matajiri wa saudi arabia walimuomba arejee ulingoni kwa re-match na yule dogo aliyepigana naye ile majuzi wakazipige tena huko saudia na matajiri wamemuwekea billion 200 mezani..kazi imebaki kwake tyson kufanya uamuzi kukubuali dili achukue billion 200 au kulikataa..kwa habari hii basi anaandaa mazingira huyu.
 
Aachane tu na hii biashara kuna sifa za kufia kazini lakini kazi zenyewe siyo kama hizi za kupigana huku hamjagombana.
 
Mike sio kwamba hivi sasa anarudi ulingoni kwa sababu ana passion na boxing.. katika maisha kuna muda unakuwa na passion sana na kitu kuna muda unakuwa demotivated na kupoteza passion kabisa.

Mike alikuwa very passionate na boxing enzi za ujana wake, hivi sasa hata ukimtizama, jamaa anarudi ulingoni kutafuta pesa kwa kutumia umaarufu wake.... kazeeka sasa.
 
Back
Top Bottom