Punching power: Evander Holyfield, Mike Tyson na Lenox Lewis

Monda kubwa

Senior Member
Jun 20, 2019
121
155
Evander Holyfield, Mike Tyson, Lenox lewis, ni wacheza ndondi walioweka historia baada ya kizazi cha Muhammad Ali kwisha. Wanaojua haya mambo na wanaojua huu mchezo kati ya hawa watatu, nani mkali tukiachana na media ratings.
 
Evander Holyfield, Mike Tyson, Lenox lewis, ni wacheza ndondi walioeka historia baada ya kizazi cha Muhammad Ali kwisha. Wanaojua haya mambo na wanaojua huu mchezo kati ya hawa watatu nan mkali tukiachana na media ratings.
Mike 'Irony' Tyson, alikuwa the best kwangu.
 
Hawa watu wamezidiana vitu kadhaa naomba nikufafanulie.na kumchanganua mmoja mmoja.

Evander Holyfield - huyu ni mmoja ya mabondia wenye endurance kubwa,sugu au uvumilivu wa kupokea kipigo.huyu ni jamaa ambaye unaweza ukapiga mpaka ukachoka.utapiga anakufuata naye anakupiga,utapiga anakufuata naye anakupiga.na hili lilimpa shida sana tyson kumshinda evander.ngumi zake zilikuwa kali lakini si za kutisha sana.na alikuwa mtu ambaye hachoki kirahisi.

Mike Tyson - huyu alikuwa na nguvu na speed/kasi.alikuwa na ngumi zenye nguvu sana na uwezo wa kuhama alipo au kukufuata kwa kasi huku akirusha ngumi zenye uzito.na hii inatokana na namna ya kurusha kwake ngumi.ngumi yake ilikuwa inakuja na uzito wa mwili wake pia.ila hakuwa na uwezo wa kupokea sana kipigo,hakuwa na pumzi sana kama evander holyfield.ndo maana ilikuwa tyson ukishamvusha round ya 5 ukaenda naye ya 6 tayari ana panic maana hakuzoea kwenda rounds nyingi hivyo hakuwa na pumzi na pia kisaikolojia alikuwa anaathirika.

Lennox Lewis - this man alitumia zaidi akili na urefu wake kwa advantage.alikua anajua namna ya kumchosha adui yake.naye hakuwa mvumilivu sana kwenye kipigo.alikosa ile spirit ya evander holyfield.alipigana kwa akili kumchosha mpinzani na pia alikuwa na ngumi zenye uzito mzuri.

So kwa ngumi kali ntasema alikuwa Mike Tyson. Ila Mambo mengine hao jamaa kama ambavyo nmeelezea. Mimi nlimpenda Evander sababu ya Usugu wake na alipotokea hakuwa anadhaniwa angefika pale hasa kiafya kutokana na kuwa na mwili mdogo ingawa mrefu.

Evander Holyfield, Mike Tyson, Lenox lewis, ni wacheza ndondi walioweka historia baada ya kizazi cha Muhammad Ali kwisha. Wanaojua haya mambo na wanaojua huu mchezo kati ya hawa watatu, nani mkali tukiachana na media ratings.
 
Hawa watu wamezidiana vitu kadhaa naomba nikufafanulie.na kumchanganua mmoja mmoja.

Evander Holyfield - huyu ni mmoja ya mabondia wenye endurance kubwa,sugu au uvumilivu wa kupokea kipigo.huyu ni jamaa ambaye unaweza ukapiga mpaka ukachoka.utapiga anakufuata naye anakupiga,utapiga anakufuata naye anakupiga.na hili lilimpa shida sana tyson kumshinda evander.ngumi zake zilikuwa kali lakini si za kutisha sana.na alikuwa mtu ambaye hachoki kirahisi.

Mike Tyson - huyu alikuwa na nguvu na speed/kasi.alikuwa na ngumi zenye nguvu sana na uwezo wa kuhama alipo au kukufuata kwa kasi huku akirusha ngumi zenye uzito.na hii inatokana na namna ya kurusha kwake ngumi.ngumi yake ilikuwa inakuja na uzito wa mwili wake pia.ila hakuwa na uwezo wa kupokea sana kipigo,hakuwa na pumzi sana kama evander holyfield.ndo maana ilikuwa tyson ukishamvusha round ya 5 ukaenda naye ya 6 tayari ana panic maana hakuzoea kwenda rounds nyingi hivyo hakuwa na pumzi na pia kisaikolojia alikuwa anaathirika.

Lennox Lewis - this man alitumia zaidi akili na urefu wake kwa advantage.alikua anajua namna ya kumchosha adui yake.naye hakuwa mvumilivu sana kwenye kipigo.alikosa ile spirit ya evander holyfield.alipigana kwa akili kumchosha mpinzani na pia alikuwa na ngumi zenye uzito mzuri.

So kwa ngumi kali ntasema alikuwa Mike Tyson. Ila Mambo mengine hao jamaa kama ambavyo nmeelezea. Mimi nlimpenda Evander sababu ya Usugu wake na alipotokea hakuwa anadhaniwa angefika pale hasa kiafya kutokana na kuwa na mwili mdogo ingawa mrefu.
Mkuu hapo kwa Evander umepatia sana, kuna pambano kati ya Evander na Lewis ambapo kwa ngumi zile usingeamini kama Evander angemaliza round ya 3, ila alikomaa mpaka mwishoni, tena alipoteza kwa points
 
Hawa watu wamezidiana vitu kadhaa naomba nikufafanulie.na kumchanganua mmoja mmoja.

Evander Holyfield - huyu ni mmoja ya mabondia wenye endurance kubwa,sugu au uvumilivu wa kupokea kipigo.huyu ni jamaa ambaye unaweza ukapiga mpaka ukachoka.utapiga anakufuata naye anakupiga,utapiga anakufuata naye anakupiga.na hili lilimpa shida sana tyson kumshinda evander.ngumi zake zilikuwa kali lakini si za kutisha sana.na alikuwa mtu ambaye hachoki kirahisi.

Mike Tyson - huyu alikuwa na nguvu na speed/kasi.alikuwa na ngumi zenye nguvu sana na uwezo wa kuhama alipo au kukufuata kwa kasi huku akirusha ngumi zenye uzito.na hii inatokana na namna ya kurusha kwake ngumi.ngumi yake ilikuwa inakuja na uzito wa mwili wake pia.ila hakuwa na uwezo wa kupokea sana kipigo,hakuwa na pumzi sana kama evander holyfield.ndo maana ilikuwa tyson ukishamvusha round ya 5 ukaenda naye ya 6 tayari ana panic maana hakuzoea kwenda rounds nyingi hivyo hakuwa na pumzi na pia kisaikolojia alikuwa anaathirika.

Lennox Lewis - this man alitumia zaidi akili na urefu wake kwa advantage.alikua anajua namna ya kumchosha adui yake.naye hakuwa mvumilivu sana kwenye kipigo.alikosa ile spirit ya evander holyfield.alipigana kwa akili kumchosha mpinzani na pia alikuwa na ngumi zenye uzito mzuri.

So kwa ngumi kali ntasema alikuwa Mike Tyson. Ila Mambo mengine hao jamaa kama ambavyo nmeelezea. Mimi nlimpenda Evander sababu ya Usugu wake na alipotokea hakuwa anadhaniwa angefika pale hasa kiafya kutokana na kuwa na mwili mdogo ingawa mrefu.
Nakubaliana naww kwa 100% ktk hayo maelezo yako kwa Evander Holfield na Mike Tyson.. umeelezea vyema sana na umepita mule mule. Lewis skuwah mfuatlia sana
 
Lennox Lewis amewazidi mike Tyson na evander Holyfield kwa sababu aliwapiga wote kwenye mapambano waliyokutanishwa . Lennox ana nidhamu ya Hali ya juu ni nadra sana bondia aliyefika mafanikio na kiwango cha Lennox kuwa na nidhamu ile na hio Ndiyo sababu mojawapo ya mafanikio yake
 
Lakini nadhani aliwapiga wakati wameshapoteza ubora wao
Lennox Lewis amewazidi mike Tyson na evander Holyfield kwa sababu aliwapiga wote kwenye mapambano waliyokutanishwa . Lennox ana nidhamu ya Hali ya juu ni nadra sana bondia aliyefika mafanikio na kiwango cha Lennox kuwa na nidhamu ile na hio Ndiyo sababu mojawapo ya mafanikio yake
 
Evanda ni bora kwangu na pia mstaarabu, tofauti na tyson mzee wa panic na kutoa kauli chafu kwa mabondia wenzie...lewis sijatokea kumkubali, in-short waingereza siwapendi.
 
Mike Tyson alikuwa bondia mzuri sana kwa kipindi kile,na nikiri tu mpaka sasa sijawahi kuvutiwa na mabondia wengine kwenye style yao ya upiganaji...
 
Tyson alikuwa bora sana pamoja na mapungufu yake,toka alipoondoka Tyson hata msisimko wa mchezo wenyewe ulipungua pia na hakujawahi kutokea tena baada ya Muhammad Ali na Tyson bondia akawa na ubora na mvuto kama wao,lewis mzuri ila sio worrior yan anakimbiakimbia na kukumbatia sana na aliwapiga kina Tyson wakat ubora wao uneshapungua wanaelekea kustaafu,evander hakuwa na mvuto japo ni worrior nae,mabondia wazuri waliishia kipindi cha Tyson siku hz tunalazimika kushusha viwango ili tupate heroes wengine wa kulazimisha hivyohivyo,kwa sasa naona deontey wilder anaweza kuwa mzuri japo hapati promo sana
 
Evanda ni bora kwangu na pia mstaarabu, tofauti na tyson mzee wa panic na kutoa kauli chafu kwa mabondia wenzie...lewis sijatokea kumkubali, in-short waingereza siwapendi.
Nani kakwambia Evanda alikuwa mstaarabu au kisa aling'atwa yeye sikio? Evander hollyfield alikuwa too much trashtalking in and aout of the ring.. sure he was very good but he was never humble
 
Hawajawahi kutokea toka dunia iumbwe wana masumbwi kama Mohamed Ali na Mike Iron Tyson
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom