Safi sana.
Kweli haramu tamu,huku inatakiwa iingie kimagendo ikiwa ktk hali hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23] isipokuwa haramu hainogi
Napata picha mwenzenu yule white house haya maamuzi yake na speech zake..akianza kuvuta sijui itakuaje!Hapa kwetu tumeshatuma maombi mara kadha bungeni
Siamin kama bashite nae kama atazeeka hivi
God bless him alot.
King Msukuma ni mwanaharakati mzuri katika mchakato huu.Hapa kwetu tumeshatuma maombi mara kadha bungeni
Du kumbe siyo misosi tu hata pande hizi upo.Hahaha, ndukuru ni noma