chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,352
- 25,870
duh bonge la investment.
Mi najua havuti mwenzangu..Wewe unadhani kuwa havuti bangi yule ?
Hahaha jamaa halafu ni muislam. .mpaka hija amewahi kwenda. .....[emoji23][emoji23][emoji23]
naipata wapi hii kwa hapa bongo?
Huyo si alisirim akawa mwislam anawezaje kutu ya sisi makafir?[emoji23][emoji23][emoji23] isipokuwa haramu hainogi
Ata madogo wa pale wanatavu kinomaIpo siku tu KISIMIRI itatambulika rasmi kwa kilimo.
yule anakula sanaa tena ile konki, kuna wakati alitoa ushauri viongozi wapige wasiwe na uoga.Napata picha mwenzenu yule white house haya maamuzi yake na speech zake..akianza kuvuta sijui itakuaje!
zinauzwa supermarket??Zipo lakini bila connection hupati
Amenifurahisha sana.Anavuta hisia kali sana.Mmmmmmmmhffff....marvelous!
Huyu jamaa nimewahi kuona documents yake YouTube kipindi cha career yake akitumie B.90 kwa mwezi kununua bangi