Mikato ya pamba za hatari

Kwahio sisi wapanda daladala hatustahili kuvaa vizuri?! Kuku wa kienyeji mwenyewe!!!

Hahah hahah hahah! Basi we Broiler au Layer!

Kuvaaa vizuri Kama huna chombo unaruhusiwa Ila Mikato ya hatari Kama huna chombo ni karha wa Bughdha!
 
Hahah hahah hahah! Basi we Broiler au Layer!

Kuvaaa vizuri Kama huna chombo unaruhusiwa Ila Mikato ya hatari Kama huna chombo ni karha wa Bughdha!
Kwahio kuna tofauti kati ya kuvaa vizuri na mikato ya hatari?! Nieleweshe. Mimi huwa navaa simple.
 
Napenda kuvaa vizuri na kuwa smart kuvaa ni sanaa na damu ya mtu kama hauna damu ya kupenda kuvaa siku zote kuvaa itakuwa ni ziada sio kitu muhimu kwako.. Utatafuta excuse zote ila ukweli ni kwamba kuvaa ni damu mtu anazaliwa anakuwa anazimia haya mambo.

Okay! Napenda kushiriki na ninyi aina ya mikato ninayopenda nawashushia moja moja.

Yoyote atayependa kushiriki na mimi. Karibu!

f8563fd28cb2515b1dd3fec073c79fb1.jpg
Hiko kikoti na hiyo jeans a hiyo shat nimevikubali niambie navipat kwa shop ipi jamani

Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
 
Back
Top Bottom