Alakara Armamasitai
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 481
- 133
unamshangaa mbumbu kama kikwete kujisifu kuwa kawa encourage canada pamoja na nchi zingine kuja kusaini mikataba ya kibepari nchiniushaingia kenya wamepewa tuzo ya kusafirisha mchanga wa tanzanite na africa kusini wakapewa tuzo ya kuuza tanzanite wakati tanzanite inazalishwa tanzania