Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,019
- 454,034
Hahhahayani ukiwagusa kidogo wanasusa khaa,mtu hutaniwi jamani mbona kutesana hivyo
Halafu watakuwa wanapenda sana tuwabembeleze wakisusa
Usikute wanajisemea ebu ngoja niwatetemeshe kidogo wanibembeleze wanasikia raha sana