Scoob102
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 316
- 385
Poa poa. BlessedSikumalizia mkuu maana nilipewa ushauri na mzee niache nami nikatii. Kuna sababu nami nilimuelewa.
Asante kwa kuuliza mkuu
Poa poa. BlessedSikumalizia mkuu maana nilipewa ushauri na mzee niache nami nikatii. Kuna sababu nami nilimuelewa.
Asante kwa kuuliza mkuu
Link yake iko wapi?Nimeshaanza nayo hii ya Zabron leo niko episode ya tatu
Huwa sipendi ujinga
Achana nayoLink yake iko wapi?
Ndugu Allency unataka aelzee kila kitu mwisho utasema kalamu anatumia au penceli nyeupe au nyeusi hebu elezea shida yako hasa ni kitu gani ?Sijasema kuwa hajibu kwa ufasaha, nazungumzia uandishi wake wa story ni tofauti na uandishi wake kwenye comments zake. Kwenye comments kuna makosa kibao kama yangu na yako lakini kwenye story makosa ya kiuhandishi ni kama hayapo kabisa. Kumbuka anadai anatuma simu kuandika....
shida aache uvivu au bando limeisha achangiwe tena?Ndugu Allency unataka aelzee kila kitu mwisho utasema kalamu anatumia au penceli nyeupe au nyeusi hebu elezea shida yako hasa ni kitu gani ?
Huku hayupo,nenda kulelwanda magere acha uvivuuu
Mkuu hayo ni maoni yangu, je kutoa maoni ni lazima niwe na shida? Au wewe ulivyotoa haya maoni yako ni kwasababu uko na shida?Ndugu Allency unataka aelzee kila kitu mwisho utasema kalamu anatumia au penceli nyeupe au nyeusi hebu elezea shida yako hasa ni kitu gani ?
Au sioAchana nayo
Maana tunawatangazia biashara baadae wanaleta nyodo
Sawa mkuu endelea kutupa maoni yako, hamna shida .Mkuu hayo ni maoni yangu, je kutoa maoni ni lazima niwe na shida? Au wewe ulivyotoa haya maoni yako ni kwasababu uko na shida?
ana vibaraka wake watampelekea hatariiiHuku hayupo,nenda kule
Mkuu hayo ni maoni yangu, je kutoa maoni ni lazima niwe na shida? Au wewe ulivyotoa haya maoni yako ni kwasababu uko na
Duhana vibaraka wake watampelekea hatariii
Mzee story IPO telegram huko nenda IPO sehemu ya 59 patamu kinomashida aache uvivu au bando limeisha achangiwe tena?
Acha uwongo mzigo unashuka km kawaBuku sio tatizo hata ingekuwa zaidi ila tunauzoefu na mambo hayo story mara nyingi ikishaenda kwenye magroup wachangiaji huanza kumbembeleza mleta story ndicho kinachotokea huko na mlioko huko nasikia hamuwezi kulalamika poleni sana
Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe ,kuna uzi ulikuwepo humu wenzenu wanalalamika kila siku kumchangia jamaa na story mpk abembelezwe sio maneno yangu ya wapigwaji wenzenuAcha uwongo mzigo unashuka km kawa
Nitag kwenye huo uzi tuone #&~&~₩~♤=♡♡==♤♤==♤=^♤Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe ,kuna uzi ulikuwepo humu wenzenu wanalalamika kila siku kumchangia jamaa na story mpk abembelezwe sio maneno yangu ya wapigwaji wenzenu