Tupiamo picha hubby wangu.
Nina Idea nayo.
We leta mchango wako watu8
Arusha si huwa tuna party kila weekend hatuogopani kama wa Dar na kwingineko!
Tupiamo picha hubby wangu.
Msiri wangu,
mbona unaunganisha mambo?
Hakuna chochote.
rock city, tukutane wapi? Judgement na wengineo mpo?