Mikakati HATARISHI ya CCM kwa ajili ya IGUNGA

Hahahahaha hii kali yani mgombea wa Chadema hana hata pamba! Natoa wito kwa Wana Magwanda popote mlipo mchangieni mgombea wa Chadema Igunga hana Viatu,suruali wala mashati amechoka amepauka hana mvuto yani ni kituko! Chadema Makao makuu wamempa laki 5 tu kwa maandalizi ya Uchaguzi huku wakijua mgombea hana hata soksi za kubadilisha!
Masabuli

Yani ni too much hana nguo kabisa yule mgombea utakuaje presentable kwa umati sasa?

Acheni kudhalilisha watu yeye ni graduate mwalimu mwenye mshahara zaidi ya 700,000 tsh /month inakuwaje mnasema hana nguo, wekeni ushabiki pembeni Mwalimu yuko fiti na alikuwa kampeni manager wa Rosti tamu sasa hakupewa nguo na huyo fisadi au zimeisha juzi acheni unafiki!!!!!!!!!!

UCHAKACHUAJI UKIPATA TENA NAFASI IGUNGA; GHARAMA YAKE WATANZANIA HATUIWEZI

Damu isimwagike hata tone Igunga; tumechoka na damu nchini hivyo CCM iache vitendo vinavyoweza kufikisha taifa huko. Hata kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana mambo yalianza kwa taarifa za aina hii hii.

Wanachi safari hii WAACHWE WAKAE KITUONI BAADA YA KUPIGA KURA mpaka siku na saa kura zao zitakapohesabiwa hadi ile ya mwisho na matokeo kutangazwa.

Kule kufukuzwa kwa wananchi eti warudi nyumbani bila kujua hatima ya kura zao zikiachwa mikononi mwao maafisa wa tume ambao mpaka hivi sasa imani ya wananchi imeshuka sana yote ni mwanzo wa matatizo.

Uhuru wa mwananchi kupiga kura kwa chama na mgombea yeyote ampendaye ni sharti iambatane na uhuru wa kulinda wenyewe kura zao na kusubiri matokeo papo kwa hapo bila ghiliba!!!!!!!

Kuna taarifa zinadai kwamba tayari CCM wamepeleka vijana kwenye kambi huko Shelui mkoani Singida. Vijana hao wanafundishwa ‘ujambazi'.

Wanafundishwa kareti na jinsi ya kupiga watu ili waje waisaidie CCM katika uchaguzi wa Igunga.

Hii ni hatari maana wakifika Igunga kila atakayeonekana ni mfuasi wa CHADEMA atapigwa vibaya ili ashindwe kabisa kwenda kupiga kura kama hataogopa kwenda kupiga kura hiyo. Aidha kuna hatari viongozi wa CHADEMA watakaokuwa Igunga kwa ajili ya kampeni wakajikuta katika hali ya hatari ya kupigwa na kujeruhiwa kama si kuuawa.

Kwa mwendo huu kuna umwagaji damu mkubwa utakaotokana maana ni dhahiri CCM haina chake Igunga ila inakwenda kuvunja demokrasia na kupora ushindi. Tayari mkuu wa polisi wa wilaya kahamishwa na CHADEMA wanadai wanazo habari za watumishi zaidi wa halmashauri watahamishwa ili kupunguza kura za CHADEMA.

Naamini idad waliyoipeleka ni ndogo sana ukilinganisha na Wana Igunga. Hawawez kushnda nguvu ya umma. Swala ni Wananch kuonyesha kile wanachokiamin pasi na kumuogopa mtu yeyote.

UCHAKACHUAJI UKIPATA TENA NAFASI IGUNGA; GHARAMA YAKE WATANZANIA HATUIWEZI

Damu isimwagike hata tone Igunga; tumechoka na damu nchini hivyo CCM iache vitendo vinavyoweza kufikisha taifa huko. Hata kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana mambo yalianza kwa taarifa za aina hii hii.

Wanachi safari hii WAACHWE WAKAE KITUONI BAADA YA KUPIGA KURA mpaka siku na saa kura zao zitakapohesabiwa hadi ile ya mwisho na matokeo kutangazwa.

Kule kufukuzwa kwa wananchi eti warudi nyumbani bila kujua hatima ya kura zao zikiachwa mikononi mwao maafisa wa tume ambao mpaka hivi sasa imani ya wananchi imeshuka sana yote ni mwanzo wa matatizo.

Uhuru wa mwananchi kupiga kura kwa chama na mgombea yeyote ampendaye ni sharti iambatane na uhuru wa kulinda wenyewe kura zao na kusubiri matokeo papo kwa hapo bila ghiliba!!!!!!!

Uwezo tunao,

Uko sahihi kabisa. Kama kuna watu wanajidanganya kuwa CCM watashinda Uchaguzi mdogo wa Igunga watakuwa wanaota ndoto za mwendawazimu.
MBONA JiMBO LA iGUNGA LISHACHUKULIWA NA CHADEMA kwa utafiti wa haraka na ndivyo itakavyokuwa. CCM WALISHAZIMALIZA WENYEWE IGUNGA. Maana haingii akilini wewe umfukuze MBUNGE wako ukimtuhumu kuwa ni FISADI na GAMBA or whatsoever halafu huyo huyo uliyemfukuza kwa TUHUMA ZA UFISADI leo tena UMWITE AKUFANYIE KAMPENI!!!!!!!

Mimi bado najiuliza kwamba HIVI ROSTAM atawaambia nini waliokuwa wapiga kura wake ambao siku ya kujiuzulu kwake WENGI WALIMLILIA NA WENGINE KUZIMIA NA WAKAMSIHI SANA ABATILISHE MAAMUZI YA KUJIUZULU.

Lakini akasema kwamba tayari ALISHAFIKIA MAAMUZI HAYO MAGUMU KWA KUWA AMECHOSHWA NA SIASA UCHWARA-GUTTER POLITICS ZA CHAMA CHA MAGAMBA-CCM!!!

Kama RA alithubutu kuziita SIASA ZA CCM ni SIASA UCHWARA ina maana ITABIDI aombe radhi kwanza kwa WANA-IGUNGA KUWA ALIPOTOKA kuziita siasa za Chama chake kuwa ni gutter politiks ilhali bado anazipenda! Kwa lugha rahisi HAWEZI KUFANYA KAMPENI kuzinadi SERA ZA CCM AMBAZO AMESHA ZIKATAA kwa kuziita ni UCHWARA.

Hahahahaha hii kali yani mgombea wa Chadema hana hata pamba! Natoa wito kwa Wana Magwanda popote mlipo mchangieni mgombea wa Chadema Igunga hana Viatu,suruali wala mashati amechoka amepauka hana mvuto yani ni kituko! Chadema Makao makuu wamempa laki 5 tu kwa maandalizi ya Uchaguzi huku wakijua mgombea hana hata soksi za kubadilisha!

bwahaaaaahaaaaaaa:) kwahiyo soksi zinanuka!! kwi kwi kwi!!!

Hahahahaha hii kali yani mgombea wa Chadema hana hata pamba! Natoa wito kwa Wana Magwanda popote mlipo mchangieni mgombea wa Chadema Igunga hana Viatu,suruali wala mashati amechoka amepauka hana mvuto yani ni kituko! Chadema Makao makuu wamempa laki 5 tu kwa maandalizi ya Uchaguzi huku wakijua mgombea hana hata soksi za kubadilisha!

Unamana yupo Uchi?,....eti hana mvujo? Jamani ubunge ni ushindani wa mvuto?... Kwani yamekuwa mashindano ya wanyange?.... Ni up....uzi huu ndio mliushadadia kwa Mzee wa kaya matokeo yake leo hata wewe ni mwathirika wa ulegelege, ukosefu wa maono ya kiuongozi na mengineo kama hayo tunayoyashuhudia kila uchao uliobarikiwa na Mungu lakini ulio tiwa NAJISI na viongozi unaowapigia kelele ya furaha kwa urembo wa sura zao!

Chadema acheni visingizio mbona muda bado kama hali ni mbaya semeni tu msianze visingizio! Binafsi jana nilivyo ona Umati wa CUF wakati wa kuchukua fomu ukilinganisha na Kundi la watoto walio msindikiza mgombea wa Chadema inaashiria kushindwa kwa Chadema!

Tusiipe CCM visingizio Chadema haina Mgombea Igunga yule mwalimu ni Zoba amezubaa,mshamba,hata tu nguo Chadema wameshindwa kumnunulia zaidi ya kumpa makombati!

akishinda cjui unasemaje, dont attack personality but concentrate on issues said by our candidate.

The magwandaz mmeanza kuna na habari za wasiwasi , uzushi na visingizio vinavyofanana na magambaz KAMA MNAOGA WATUPU NJE ! ? LOL !
ACHENI KUWA WA KIUME BANA AAAAGH !

Chadema nao wameagiza Vijana 800 kutoka Tarime mkoani Mara wako Nzega kijiji cha Itobo kambini wanawapa Mbinu za kivita na Kupigana huku siraha kma mapanga vimeagizwa kama 1500 vipo hapo kwenye kambi ya Chadema! Tujiulize CCM na CDM wanataka Nchi hii iwe na sura gani baadae kama sio kuhatarisha maisha na Taifa letu hasa kwa amani tulionayo? CDM na CCM kumbukeni ni kinyume na Sheria kufundisha majeshi!

We lete utani kwenye mambi ya maana,utakuja juta siku moja.

Chadema nao wameagiza Vijana 800 kutoka Tarime mkoani Mara wako Nzega kijiji cha Itobo kambini wanawapa Mbinu za kivita na Kupigana huku siraha kma mapanga vimeagizwa kama 1500 vipo hapo kwenye kambi ya Chadema! Tujiulize CCM na CDM wanataka Nchi hii iwe na sura gani baadae kama sio kuhatarisha maisha na Taifa letu hasa kwa amani tulionayo? CDM na CCM kumbukeni ni kinyume na Sheria kufundisha majeshi!

Unatumia masaburi kufikiri au? Unadhani mkitumia mbinu chafu kama za Mahita kuwachafua CUF uchaguzi wa 2000 mtaweza? Hii Tanzania nyingine kabisa, watu wanaelewa nini pumba na nini mchele. Toa upupu wako hapa, kama unlosema ni kweli leta ushahidi la sivyo umbea tuu.

hivi IGUNGA kuna nini, mbona wanasiasa wanapigana vikumbo sana kwa kutumia resource nyingi kulichukua hilo jimbo?!!

CCM ni Chama cha ajabu sana .Haya mambo wanayo sana sana na huwa hawakubali kila ukiwauliza wanasema ni uongo .Intelijensia ya polisi hapa hapa haitasema lolote maana ni part of dirty games so hakuna tamko lolote la polisi au ma CCM yenyewe

Tumeona wengi waliotawala kwa mabavu lakini hatima yao imefika. Hata CCM itang'oka, kama sio leo ni kesho.

Kuna taarifa zinadai kwamba tayari CCM wamepeleka vijana kwenye kambi huko Shelui mkoani Singida. Vijana hao wanafundishwa ‘ujambazi’.

Wanafundishwa kareti na jinsi ya kupiga watu ili waje waisaidie CCM katika uchaguzi wa Igunga.

Hii ni hatari maana wakifika Igunga kila atakayeonekana ni mfuasi wa CHADEMA atapigwa vibaya ili ashindwe kabisa kwenda kupiga kura kama hataogopa kwenda kupiga kura hiyo. Aidha kuna hatari viongozi wa CHADEMA watakaokuwa Igunga kwa ajili ya kampeni wakajikuta katika hali ya hatari ya kupigwa na kujeruhiwa kama si kuuawa.

Kwa mwendo huu kuna umwagaji damu mkubwa utakaotokana maana ni dhahiri CCM haina chake Igunga ila inakwenda kuvunja demokrasia na kupora ushindi. Tayari mkuu wa polisi wa wilaya kahamishwa na CHADEMA wanadai wanazo habari za watumishi zaidi wa halmashauri watahamishwa ili kupunguza kura za CHADEMA.

Dawa ya karate ni manati na mishale.

malaya wewe.....

Back
Top Bottom