Mikakati HATARISHI ya CCM kwa ajili ya IGUNGA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikakati HATARISHI ya CCM kwa ajili ya IGUNGA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, Aug 31, 2011.

1. Sir R

Sir R JF-Expert Member

#1
Aug 31, 2011
Joined: Oct 23, 2009
Messages: 2,177
Likes Received: 2
Trophy Points: 135
Kuna taarifa zinadai kwamba tayari CCM wamepeleka vijana kwenye kambi huko Shelui mkoani Singida. Vijana hao wanafundishwa ‘ujambazi’.

Wanafundishwa kareti na jinsi ya kupiga watu ili waje waisaidie CCM katika uchaguzi wa Igunga.

Hii ni hatari maana wakifika Igunga kila atakayeonekana ni mfuasi wa CHADEMA atapigwa vibaya ili ashindwe kabisa kwenda kupiga kura kama hataogopa kwenda kupiga kura hiyo. Aidha kuna hatari viongozi wa CHADEMA watakaokuwa Igunga kwa ajili ya kampeni wakajikuta katika hali ya hatari ya kupigwa na kujeruhiwa kama si kuuawa.

Kwa mwendo huu kuna umwagaji damu mkubwa utakaotokana maana ni dhahiri CCM haina chake Igunga ila inakwenda kuvunja demokrasia na kupora ushindi. Tayari mkuu wa polisi wa wilaya kahamishwa na CHADEMA wanadai wanazo habari za watumishi zaidi wa halmashauri watahamishwa ili kupunguza kura za CHADEMA.

2. d

dr. gracemary Member

#2
Aug 31, 2011
Joined: Jul 7, 2011
Messages: 32
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Inawezekana kwa sababu ni moja kati ya mbinu mbaya za sisiem mahala wanapoona wamelemewa, mwaka jana walizitumia musoma, walipeleka vijana kwenye kambi za mafunzo vikaanzishwa vikundi vilivyojulikana kama jamaika mokasini, mbio za vijiti, mdomo wa furu nk lakini wananchi waliwaidi kwa sababu taarifa zilivuja mapema na mheshimiwa mathaya aliyeanzisha magenge hayo akapigwa chini na kijana nyerero. Chademo wanalijua hilo lisikupe tabu

3. Lukansola

Lukansola JF-Expert Member

#3
Aug 31, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 5,456
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
Hata mwenyezi Mungu anajua watanzania sasa wamechoka na ccm, ninaamini uwezo wake utashinda mbinu chafu za magamba

4. ntamaholo

ntamaholo JF-Expert Member

#4
Aug 31, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 10,150
Likes Received: 2,111
Trophy Points: 280
Inawezekana, kwani siku zote CCM wanatanguliza TAMAA YA PESA MBELE, kwao ubinadamu ni wa kutafuta.

MUNGU AWAREHEMU

5. J

John Marwa JF-Expert Member

#5
Aug 31, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 275
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Chadema acheni visingizio mbona muda bado kama hali ni mbaya semeni tu msianze visingizio! Binafsi jana nilivyo ona Umati wa CUF wakati wa kuchukua fomu ukilinganisha na Kundi la watoto walio msindikiza mgombea wa Chadema inaashiria kushindwa kwa Chadema!

Tusiipe CCM visingizio Chadema haina Mgombea Igunga yule mwalimu ni Zoba amezubaa,mshamba,hata tu nguo Chadema wameshindwa kumnunulia zaidi ya kumpa makombati!

6. Felixonfellix

Felixonfellix JF-Expert Member

#6
Aug 31, 2011
Joined: Feb 16, 2010
Messages: 1,680
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
taarifa za intelijensia zinasemaje wakuu katika hili

7. Bigirita

Bigirita JF-Expert Member

#7
Aug 31, 2011
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 13,976
Likes Received: 689
Trophy Points: 280
yani wewe bana, yani ushamba na kutokuwa na nguo za kifahari ndo umeona ni ingridient tosha za kiongozi bora.
Pathetic!

8. Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati JF-Expert Member

#8
Aug 31, 2011
Joined: Feb 16, 2011
Messages: 2,733
Likes Received: 8
Trophy Points: 0

Hahahahaha hii kali yani mgombea wa Chadema hana hata pamba! Natoa wito kwa Wana Magwanda popote mlipo mchangieni mgombea wa Chadema Igunga hana Viatu,suruali wala mashati amechoka amepauka hana mvuto yani ni kituko! Chadema Makao makuu wamempa laki 5 tu kwa maandalizi ya Uchaguzi huku wakijua mgombea hana hata soksi za kubadilisha!

9. Mvaa Tai

Mvaa Tai JF-Expert Member

#9
Aug 31, 2011
Joined: Aug 11, 2009
Messages: 6,174
Likes Received: 2,175
Trophy Points: 280
Habari hii nimeisikia mara tatu na vyanzo vitatu tofauti, sasa nataka kuamini inaweza ikawa ya kweli, Inasemekana hata Mkuu wa polisi mpya anayepelekwa Igunga, amepewa kazi maalumu za kufanya wakati wa kampeni na siku ya uchaguzi, kazi hizohizo alizo zikataa Mkuu wa polisi anayeondolewa kwasababu inasemekana hapendi kumwaga damu isiyo na hatia

10. M

Mthuya JF-Expert Member

#10
Aug 31, 2011
Joined: Jun 9, 2011
Messages: 1,415
Likes Received: 65
Trophy Points: 145

Wacha kashfa wewe endelea kupakatwa na hao mafisadi wakununulie mpaka chupi

11. J

John Marwa JF-Expert Member

#11
Aug 31, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 275
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Yani ni too much hana nguo kabisa yule mgombea utakuaje presentable kwa umati sasa?

12. The Emils

The Emils JF-Expert Member

#12
Aug 31, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 570
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
hatuogopi kitu hapa, nguvu ya umma ndio inayomng'oa Gadaffi sasa hivi, kwahiyo hao vijana kwani wana nini cha kuogopa?? tukiona kuna mambo ya kutishana tunatangaza maandamano nchi nzima kuelekea Igunga halafu tutajua kama kweli hao vijana wananguvu gani kushinda nguvu ya umma..

13. J

John Marwa JF-Expert Member

#13
Aug 31, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 275
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Jitihada za makusudi zinatakiwa kwa Viongozi wa Chadema kuwafundisha wanachama wao maana ya Nguvu ya Umma na Vita! Naona Magwanda wanachanganya kati ya Nguvu ya Umma na Vita! Gaddaf kaondolewa kwa Vita na sio nguvu ya umma!

14. Selous

Selous JF-Expert Member

#14
Aug 31, 2011
Joined: Jan 13, 2008
Messages: 1,322
Likes Received: 17
Trophy Points: 135
nipo itobo sasa, niambie nikawapige picha au nimuone nani. pleaese PM siwezi kuvumilia hili.

15. M

Mzee Madoshi Senior Member

#15
Aug 31, 2011
Joined: Feb 16, 2011
Messages: 130
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Yale yale ya kutaka kuoneana huruma badala ya kujizatiti kimkakati. Ilinichukua muda mrefu sana kupata mkanda wa kwanza wa okinawa gyojo ryu karate do, sasa hizi Karate za wiki nne kweli kwa muda mfupi hivyo???. Labda ungekuwa na picha ya hao vijana, make Singida sio mbali sana.

16. Rugas

Rugas JF-Expert Member

#16
Aug 31, 2011
Joined: Jan 8, 2009
Messages: 1,053
Likes Received: 9
Trophy Points: 135

Tukiweka itikadi pembeni!hapo uko thawa kabitha!HUWEZI KUSEMA MAJESHI YA NATO NAYO NI NGUVU YA UMMA!PALE NI UJAMBAZI WA NCHI ZA ULAYA MAREKANI UMEMUONDOA GADAFF.kwa Mubarack,ndo unaweza kuitaja nguvu ya umma.

17. Isaac

Isaac JF-Expert Member

#17
Aug 31, 2011
Joined: Jan 4, 2009
Messages: 627
Likes Received: 80
Trophy Points: 45
wala hawaleti wasiwasi. Kwa vijana wa Igunga ninavyowajua hawawezi kuwa manipulated kirahisi namna hiyo. Isitoshe mtu kufundishwa kupigana kwa wiki 4 au 5 hawezi kufuzu. Kwa tuliojifunza kuanzia utotoni tunaweza kuwahimili 30 hadi 40.
Mnaodai kuwa mwalimu hana nguo hamuoni kuwa mnaongopa wazi? Ni vipi anaenda shule bila nguo? I doubt your IQ. Au mlitaka awe sharobaro?

18. m

mwinukai JF-Expert Member

#18
Aug 31, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 1,448
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
kwani kule tunaenda kumchagua Mr Igunga au tunaenda kumchagua Mbunge mi nadhani hayo mambo uliyoyataja yanafaa sana kama kuna uchaguzi wa Mr Igunga, Lakini CDM imemsimamisha Mgombea wa Ubunge na C Mr Igunga.

19. K

Kozo Member

#19
Aug 31, 2011
Joined: Aug 14, 2011
Messages: 32
Likes Received: 2
Trophy Points: 15
Kwa kweli hiki chama iko siku kwa sababu ya tamaa zao wataihalibu amani ya nchi hii kwani hawataklwl maana wananchi tumechoka jamani.

20. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#20
Aug 31, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Du! Huko Igunga tutasikia mengi sana!

Loading...