Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

Kitu ambacho vijana wengi wachanga wa siasa hamjakijua ni kuwa aliyeifikisha ccm hapa mpaka imekuwa taabani ni Dr silaa..alitishwa sana tu hadi kuwekewa vipaza sauti kwenye chumba alichokuwa analala Dodoma bila kujua..alivuruga hadi mtandao wao na mwishowe wakawa maadui..kujibu hoja za huyu mzee unatakiwa utulie sana..na watu wa kumjibu ni lazima wawe wanaaminika katika hayo makundi..ccm walimshindwa..tundu lissu kakurupuka kala za mbavu katulia..tunamsubiri gwajima na wengine..alitulia, mmemchokoza..nawahakikishia hadi octoba hamtakuwa pamoja..time will tell..hili ni jeshi baya sana la mtu mmoja

Mkuu sawa kabisa ila tatizo kuku huyu ameyageukia mayai yake mwenyewe ayale; dawa ni kumkata mdomo
 
lolote linawezekana. ila tu wasimtoe uhai wake. maana binadamu nao sio watu kabisa.

Hili gazeti bana...

Dondoo kutoka kwenye gazeti hilo:
  • "Kukiwa na a well designed damage-control and engagement strategy, Dk. Slaa anaweza kuishia walikoishia akina Michael Nyaruba, James Mapalala, Awesu Daddi na wengineo, enzi hizo."

  • "Hawa wanapaswa kuandaa majibu dhidi ya maelezo yoyote ya Dk. Slaa, bila kujali usahihi, watafute namna ya kupotosha pale inapobidi ili hatimaye umma upoteze imani na Slaa. Kikosi kinaweza kushiriki vipindi vya mijadala katika redio na televisheni na wakati mwingine kupenyeza hoja zao kwa waandaaji wa vipindi hivyo, na baadaye kuendelea kumu-engage proactively kwa lengo la kuhakikisha anakuwa ignored na political society wa Tanzania na pengine kumfanya aonekane political reform public enemy.

  • "Kikosi-mkakati hicho kinaweza hata kufanya utafiti na ku-expose the inner motives za harakati za Dk. Slaa, zikiwamo zinazomhusu mkewe Josephine. Tunaweza kutafiti taarifa kuhusu mkewe na kuzihakiki, vyovyote itakavyokuwa, kuzianika hadharani kupitia vyombo ya habari rafiki, vinavyounga mkono Ukawa katika kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu"

  • "Team ya Kampeni ya mgombea urais wa Ukawa ishauriwe, isijiingize kujibu chochote alichokisema au atakachokisema Dk. Slaa kuhusiana na mgombea urais wa Ukawa au wajumbe wa timu ya kampeni yake. Kama kuna suala au hoja yoyote ipelekwe katika kikosi-mkakati cha wataalamu wa mawasiliano ya kampeni za kisiasa kuandaa na hata kutoa majibu"
 
Dr.Slaa anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na dokta ndo kaijenga Chadema. Wao wampuuze tu watakuja kuona impacts yake siku ya kutangaza matokeo. Na sisi tuko nyuma ya Dr.Slaa na tunamuamini na tuna Imani anaaminika yeye aendelea hicho kikosi kazi kina akina nani? waandishi wa habari au akina nani? Hicho kikosi kazi kitaonekana cha ajabu na kitoto kabla hata hakijamugaza dokta. Hatukiogopi kianze. Sisi tunajiamini kwa hoja zetu.
 
Kitu ambacho vijana wengi wachanga wa siasa hamjakijua ni kuwa aliyeifikisha ccm hapa mpaka imekuwa taabani ni Dr silaa..alitishwa sana tu hadi kuwekewa vipaza sauti kwenye chumba alichokuwa analala Dodoma bila kujua..alivuruga hadi mtandao wao na mwishowe wakawa maadui..kujibu hoja za huyu mzee unatakiwa utulie sana..na watu wa kumjibu ni lazima wawe wanaaminika katika hayo makundi..ccm walimshindwa..tundu lissu kakurupuka kala za mbavu katulia..tunamsubiri gwajima na wengine..alitulia, mmemchokoza..nawahakikishia hadi octoba hamtakuwa pamoja..time will tell..hili ni jeshi baya sana la mtu mmoja

Kubenea tayari kaomba mdahalo tena yeye akiwa peke yake na data na nyaraka mbalimbali lakini upande wa pili waje Dr Slaa, Dr Mwakyembe na Mzee Sitta. Wachambue facts kuhusu Richmond na siyo bla blah za kusikiliza ant Lowassa peke yao. Lakini so far, siyo Dr Slaa, Dr Mwakyembe au Sitta ameonyesha ubavu kupambana na Saed Kubenea!
 
Kuna aina ya wanasiasa unaweza kuwazarau usijibu hoja zao lakini sio kwa mtu kama dk slaa ,huyu anauwezo wa kujenga hoja na anaushawishi kwenye jamii.embu jaribuni kutojibu hoja zake muone mtaambulia kura ngapi

Tulishampuuza. Sisi tunaendelea kumwaga sera kwa wananchi. Wapo watu watafanya hivyo. Mimi km mgombea urais siwezi kuanza kuhangaika na mtu ambaye hagombei. Sio size yetu huyo. Tangu aingie kwa magamba tulimshitukia
 
Kitu ambacho vijana wengi wachanga wa siasa hamjakijua ni kuwa aliyeifikisha ccm hapa mpaka imekuwa taabani ni Dr silaa..alitishwa sana tu hadi kuwekewa vipaza sauti kwenye chumba alichokuwa analala Dodoma bila kujua..alivuruga hadi mtandao wao na mwishowe wakawa maadui..kujibu hoja za huyu mzee unatakiwa utulie sana..na watu wa kumjibu ni lazima wawe wanaaminika katika hayo makundi..ccm walimshindwa..tundu lissu kakurupuka kala za mbavu katulia..tunamsubiri gwajima na wengine..alitulia, mmemchokoza..nawahakikishia hadi octoba hamtakuwa pamoja..time will tell..hili ni jeshi baya sana la mtu mmoja

Unawaonea bure vijana maana unaweza ukawa mzee lakini usiye na busara. Swala la dk. halina umaarufu wowote kwa wale waliyo upande wa pili. Kwa vile kaamua kuisaidia CCM ishinde wapenzi wa CCM wote watamshangilia pamoja na kuwa mda mfupi uliopita alikuwa adui yao namba moja, na UKAWA watamchukia yule ambaye mda mfupi uliopita alikuwa kipenzi chao. Lakini kwa ujumla wake hana umaarufu wowote na hasa ukifuatilia kwa karibu maisha yake tangu alipokuwa kiongozi wa kidini mpaka hapa alipofikia leo. Anaweza akasema niliwekewa vipaza sauti chumbani kwangu, ili iwe nini? Lakini ukumbukwe mtu anaweza akafanya njama na kuichoma nyumba yake mwenyewe na jamii ikamuonea huruma kumbe lengo lake lilikuwa alipwe na bima. Hizo ni siasa nyepesi zinazofanywa na baadhi ya watu wanaotafuta huruma kutoka kwa jamii na kujipatia umaarufu kwa bei rahisi. Umaarufu wa kweli ni aghali sana.
 
Huu uchaguzi utaleta chaos kama watu hawatatumia midomo yao kwa hekima na busara!

Nina kubaliana na wewe kabisa kuwa Dr Slaa akiamua anaweza kusema kila kitu kuhusu taasisi (CHADEMA) aliyoiongoza kwa muda mrefu akiwa kama kiongozi mwandamizi mkubwa.

Tukumbuke kuwa huyu alikuwa ni Katibu Mkuu wa chama. Ni wazi anakijua chama in and out, anajua watumishi wa chama wote pengine.

Na uko sahihi kabisa kuwa akiamua kuuvaa uwendawazimu, anaweza kuisambaratisha CHADEMA

Lakini swali linalokuja ni kwa nini afanye vile? Si ni chama alichokijenga mwenyewe kwa mikono yake? Si ni chama hiki hiki kilichompa heshima, akajulikana na kikamtunza na kumlisha? Why destroy it again in his own hands? Ni kwa sbb ya Urais tu na uadui wake na Lowassa? Ni kwa sbb kalipwa fedha nyingi na CCM? Hivi pesa kitu gani zaidi ya integrity na credibility yake aliyoitengeneza kwa miaka mingi? Hivi akifa leo atazikwa na mapesa yake hayo haramu toka CCM?

It is simple, umetofautiana na wenzako. Waachie chama chao, pumzika kwa amani mzee. Maisha haya si lolote, ni mafupi mno!.

Hakika ukichukua uamuzi huu, amini nakuambia nafsi yako haitakuja kukusuta, itakuwa na amani maisha yako yote yaliyosalia!

Upande mwingine. CHADEMA/UKAWA wana watu ambao wamefanya kazi katika serikali katika nafasi za juu sana (Mawaziri wakuu).

Hawa ni Edward Lowassa na Frederick Sumaye. Ni wazi na wao wakiamua kuisambaratisha CCM na Serikali hii iliyopo madarakani sidhani kama watashindwa. Wanaweza, na itakuwa ni chaos. Sasa sidhani kama CCM wanataka tufike huko. Binafsi najua ipo sheria inayomkataza aliyewahi kuwa kiongozi au mtumishi yeyote mwandamizi wa serikali kutoa siri za serikali hata kama utakoma kuwa mtumishi wa umma kama walivyo kina Lowassa na Sumaye. Lakini inavyoelekea CCM wanataka kulazimisha tufike huko

Hapa ndipo ilipokuwa point ya James Mbatia alipojitokeza kumjibu Dr Slaa siku moja baada ya press conference yake Serena Hotel pale aliponukuliwa akisema "Dr Slaa asitake kuwa chanzo cha vurugu za kulisambaratisha Taifa hili"

Ushauri wa bure kwa Dr Slaa: Fuata mfano wa Prof Ibrahimu Lipumba, umetofautiana na wenzako kaa pembeni, Fanya shughuli zingine. Waachie wanasiasa wapambane wao kwenye majukwaa ya kisiasa.

Na ikibidi rudi kwenye kazi yako ya awali ya utumishi wa Mungu, huo ndiyo ulikuwa wito wako baba yangu. Usikubali CCM wakutumie kwa manufaa yao ya uroho wa madaraka ya kuwa "lazima tu waongoze nchi hii kwa gharama yoyote hata kama wananchi hawawataki tena". Usikubali Wewe kuwa gharama yao!!
 
Kubenea tayari kaomba mdahalo tena yeye akiwa peke yake na data na nyaraka mbalimbali lakini upande wa pili waje Dr Slaa, Dr Mwakyembe na Mzee Sitta. Wachambue facts kuhusu Richmond na siyo bla blah za kusikiliza ant Lowassa peke yao. Lakini so far, siyo Dr Slaa, Dr Mwakyembe au Sitta ameonyesha ubavu kupambana na Saed Kubenea!

Kwa taarifa yako..mwaka 2008 said kubenea alivamiwa nyumbani na maafisa usalama kutafuta nyaraka ili wamshtaki..aliyemuokoa ni Dr silaa baada ya kusema hizo nyaraka yeye ndio anampa kubenea..wamkamate yeye..watu wa usalama wakapotea hadi leo..huyu said anaenda kula matapishi yake muda si mrefu..hana uwezo wa kukaa na Dr meza moja..nakuhakikishia .
 
Unawaonea bure vijana maana unaweza ukawa mzee lakini usiye na busara. Swala la dk. halina umaarufu wowote kwa wale waliyo upande wa pili. Kwa vile kaamua kuisaidia CCM ishinde wapenzi wa CCM wote watamshangilia pamoja na kuwa mda mfupi uliopita alikuwa adui yao namba moja, na UKAWA watamchukia yule ambaye mda mfupi uliopita alikuwa kipenzi chao. Lakini kwa ujumla wake hana umaarufu wowote na hasa ukifuatilia kwa karibu maisha yake tangu alipokuwa kiongozi wa kidini mpaka hapa alipofikia leo. Anaweza akasema niliwekewa vipaza sauti chumbani kwangu, ili iwe nini? Lakini ukumbukwe mtu anaweza akafanya njama na kuichoma nyumba yake mwenyewe na jamii ikamuonea huruma kumbe lengo lake lilikuwa alipwe na bima. Hizo ni siasa nyepesi zinazofanywa na baadhi ya watu wanaotafuta huruma kutoka kwa jamii na kujipatia umaarufu kwa bei rahisi. Umaarufu wa kweli ni aghali sana.

Unahitaji muda kumfahamu Dr silaa..jipe muda japo umechelewa..itakusaidia hasa katika kipindi hiki tunachoendea..
 
Hili gazeti bana...

Dondoo kutoka kwenye gazeti hilo:
  • “Kukiwa na a well designed damage-control and engagement strategy, Dk. Slaa anaweza kuishia walikoishia akina Michael Nyaruba, James Mapalala, Awesu Daddi na wengineo, enzi hizo.”

  • “Hawa wanapaswa kuandaa majibu dhidi ya maelezo yoyote ya Dk. Slaa, bila kujali usahihi, watafute namna ya kupotosha pale inapobidi ili hatimaye umma upoteze imani na Slaa. Kikosi kinaweza kushiriki vipindi vya mijadala katika redio na televisheni na wakati mwingine kupenyeza hoja zao kwa waandaaji wa vipindi hivyo, na baadaye kuendelea kumu-engage proactively kwa lengo la kuhakikisha anakuwa ignored na political society wa Tanzania na pengine kumfanya aonekane political reform public enemy.

  • “Kikosi-mkakati hicho kinaweza hata kufanya utafiti na ku-expose the inner motives za harakati za Dk. Slaa, zikiwamo zinazomhusu mkewe Josephine. Tunaweza kutafiti taarifa kuhusu mkewe na kuzihakiki, vyovyote itakavyokuwa, kuzianika hadharani kupitia vyombo ya habari rafiki, vinavyounga mkono Ukawa katika kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu”

  • “Team ya Kampeni ya mgombea urais wa Ukawa ishauriwe, isijiingize kujibu chochote alichokisema au atakachokisema Dk. Slaa kuhusiana na mgombea urais wa Ukawa au wajumbe wa timu ya kampeni yake. Kama kuna suala au hoja yoyote ipelekwe katika kikosi-mkakati cha wataalamu wa mawasiliano ya kampeni za kisiasa kuandaa na hata kutoa majibu”
Huu uongo tumeshakataa wadanganye ukawa wenzako.
 
Kubenea tayari kaomba mdahalo tena yeye akiwa peke yake na data na nyaraka mbalimbali lakini upande wa pili waje Dr Slaa, Dr Mwakyembe na Mzee Sitta. Wachambue facts kuhusu Richmond na siyo bla blah za kusikiliza ant Lowassa peke yao. Lakini so far, siyo Dr Slaa, Dr Mwakyembe au Sitta ameonyesha ubavu kupambana na Saed Kubenea!
Kubenea ni mtu mdogo sana ni mtu wa kutumika tu saizi yake ni Rose kamili ndiyo anapaswa kuomba naye mdahalo au sadifa juma.
 
Huu uchaguzi utaleta chaos kama watu hawatatumia midomo yao kwa hekima na busara!

Nina kubaliana na wewe kabisa kuwa Dr Slaa akiamua anaweza kusema kila kitu kuhusu taasisi (CHADEMA) aliyoiongoza kwa muda mrefu akiwa kama kiongozi mwandamizi mkubwa.

Tukumbuke kuwa huyu alikuwa ni Katibu Mkuu wa chama. Ni wazi anakijua chama in and out, anajua watumishi wa chama wote pengine.

Na uko sahihi kabisa kuwa akiamua kuuvaa uwendawazimu, anaweza kuisambaratisha CHADEMA

Lakini swali linalokuja ni kwa nini afanye vile? Si ni chama alichokijenga mwenyewe kwa mikono yake? Si ni chama hiki hiki kilichompa heshima, akajulikana na kikamtunza na kumlisha? Why destroy it again in his own hands? Ni kwa sbb ya Urais tu na uadui wake na Lowassa? Ni kwa sbb kalipwa fedha nyingi na CCM? Hivi pesa kitu gani zaidi ya integrity na credibility yake aliyoitengeneza kwa miaka mingi? Hivi akifa leo atazikwa na mapesa yake hayo haramu toka CCM?

It is simple, umetofautiana na wenzako. Waachie chama chao, pumzika kwa amani mzee. Maisha haya si lolote, ni mafupi mno!.

Hakika ukichukua uamuzi huu, amini nakuambia nafsi yako haitakuja kukusuta, itakuwa na amani maisha yako yote yaliyosalia!

Upande mwingine. CHADEMA/UKAWA wana watu ambao wamefanya kazi katika serikali katika nafasi za juu sana (Mawaziri wakuu).

Hawa ni Edward Lowassa na Frederick Sumaye. Ni wazi na wao wakiamua kuisambaratisha CCM na Serikali hii iliyopo madarakani sidhani kama watashindwa. Wanaweza, na itakuwa ni chaos. Sasa sidhani kama CCM wanataka tufike huko. Binafsi najua ipo sheria inayomkataza aliyewahi kuwa kiongozi au mtumishi yeyote mwandamizi wa serikali kutoa siri za serikali hata kama utakoma kuwa mtumishi wa umma kama walivyo kina Lowassa na Sumaye. Lakini inavyoelekea CCM wanataka kulazimisha tufike huko

Hapa ndipo ilipokuwa point ya James Mbatia alipojitokeza kumjibu Dr Slaa siku moja baada ya press conference yake Serena Hotel pale aliponukuliwa akisema "Dr Slaa asitake kuwa chanzo cha vurugu za kulisambaratisha Taifa hili"

Ushauri wa bure kwa Dr Slaa: Fuata mfano wa Prof Ibrahimu Lipumba, umetofautiana na wenzako kaa pembeni, Fanya shughuli zingine. Waachie wanasiasa wapambane wao kwenye majukwaa ya kisiasa.

Na ikibidi rudi kwenye kazi yako ya awali ya utumishi wa Mungu, huo ndiyo ulikuwa wito wako baba yangu. Usikubali CCM wakutumie kwa manufaa yao ya uroho wa madaraka ya kuwa "lazima tu waongoze nchi hii kwa gharama yoyote hata kama wananchi hawawataki tena". Usikubali Wewe kuwa gharama yao!!

Huyu mzee alikuwa kimya kabisa..tena zaidi ya lipumba..amelishwa sana maneno na watoto wa bavicha na kina mbowe..lakini ukimya wa huyu mzee ulikuwa unaleta hali ya sintofahamu kwa tulio wengi..ni bora katokea kazungumza..tumefarijika
 
Yaani kama kuna mtu anayejisahau na Dr.Slaa akiwemo kwamba watanzania hawajui lolote Kuhusu Richmond anajidanganya.Ndugu zangu Watanzania wa leo sio wale uliowaona jana wasiojua lolote ,hawa wa leo ni balaa kabisa wanajua wapi Richmond ilianzia na mpaka sasa mwenye Richmond yake ameshajulikana,Hivyo unayetaka Lowasa ashitakiwe unajifanya kuvaa tintedi eti humjui mwenye Richmond ww endeleza ngonjera zako SISI haturudi nyuma achaneni na hiyo kitu mtaongea sana mwisho mtapasuka midomo SISI haturudi nyuma LOWASA ndio habari ya mjini na inaitwa ALUTA CONTINUE.
 
Huu uchaguzi utaleta chaos kama watu hawatatumia midomo yao kwa hekima na busara!

Nina kubaliana na wewe kabisa kuwa Dr Slaa akiamua anaweza kusema kila kitu kuhusu taasisi (CHADEMA) aliyoiongoza kwa muda mrefu akiwa kama kiongozi mwandamizi mkubwa.

Tukumbuke kuwa huyu alikuwa ni Katibu Mkuu wa chama. Ni wazi anakijua chama in and out, anajua watumishi wa chama wote pengine.

Na uko sahihi kabisa kuwa akiamua kuuvaa uwendawazimu, anaweza kuisambaratisha CHADEMA

Lakini swali linalokuja ni kwa nini afanye vile? Si ni chama alichokijenga mwenyewe kwa mikono yake? Si ni chama hiki hiki kilichompa heshima, akajulikana na kikamtunza na kumlisha? Why destroy it again in his own hands? Ni kwa sbb ya Urais tu na uadui wake na Lowassa? Ni kwa sbb kalipwa fedha nyingi na CCM? Hivi pesa kitu gani zaidi ya integrity na credibility yake aliyoitengeneza kwa miaka mingi? Hivi akifa leo atazikwa na mapesa yake hayo haramu toka CCM?

It is simple, umetofautiana na wenzako. Waachie chama chao, pumzika kwa amani mzee. Maisha haya si lolote, ni mafupi mno!.

Hakika ukichukua uamuzi huu, amini nakuambia nafsi yako haitakuja kukusuta, itakuwa na amani maisha yako yote yaliyosalia!

Upande mwingine. CHADEMA/UKAWA wana watu ambao wamefanya kazi katika serikali katika nafasi za juu sana (Mawaziri wakuu).

Hawa ni Edward Lowassa na Frederick Sumaye. Ni wazi na wao wakiamua kuisambaratisha CCM na Serikali hii iliyopo madarakani sidhani kama watashindwa. Wanaweza, na itakuwa ni chaos. Sasa sidhani kama CCM wanataka tufike huko. Binafsi najua ipo sheria inayomkataza aliyewahi kuwa kiongozi au mtumishi yeyote mwandamizi wa serikali kutoa siri za serikali hata kama utakoma kuwa mtumishi wa umma kama walivyo kina Lowassa na Sumaye. Lakini inavyoelekea CCM wanataka kulazimisha tufike huko

Hapa ndipo ilipokuwa point ya James Mbatia alipojitokeza kumjibu Dr Slaa siku moja baada ya press conference yake Serena Hotel pale aliponukuliwa akisema "Dr Slaa asitake kuwa chanzo cha vurugu za kulisambaratisha Taifa hili"

Ushauri wa bure kwa Dr Slaa: Fuata mfano wa Prof Ibrahimu Lipumba, umetofautiana na wenzako kaa pembeni, Fanya shughuli zingine. Waachie wanasiasa wapambane wao kwenye majukwaa ya kisiasa.

Na ikibidi rudi kwenye kazi yako ya awali ya utumishi wa Mungu, huo ndiyo ulikuwa wito wako baba yangu. Usikubali CCM wakutumie kwa manufaa yao ya uroho wa madaraka ya kuwa "lazima tu waongoze nchi hii kwa gharama yoyote hata kama wananchi hawawataki tena". Usikubali Wewe kuwa gharama yao!!
Kweli humu Nimeamini kua kuna Great thinkers! Mkuu nimeukubali ushauri wako ni mzuri sana.Ukweli hata Lowassa na Sumaye wakiamua kuisambaratisha CCM Ni siku moja tu na watu watapoteana, sijui hili CCM hawalioni hili? Kwanini wamtumie Dr Slaa kwa mambo ambayo wenzao wamekaa kimya kiungwana tu?na siku wakisema tumechoka Taifa litaingia kwenye matatizo makubwa!Siri walizo nazo Lowassa na Sumaye kuhusu Taifa hili na ccm kwa ujumla ni nzito kuliko porojo za kichochezi za Slaa.CCM wasicheze na hii kitu ni hatari kwao na Taifa.Hawa wazee ni wastaarabu mno.
 
Huyu Bubelwa Kaiza na NGO yake ya kitapeli wafungiwe. Hajaanza leo lakini pia ana kashfa za kutafuna pesa za wahisani. Alipotea hapa katikati nashangaa kaibuka kwa gia tofauti

Kwani ana shida gani huyu Bubelwa! Mbona yupo clear tu?
 
Chadema/UKAWA msihangaike na majibizano na mtu bali tangazeni sera! Watanzania wanajua wanataka nini kwa sasa. Wameamua kuung'oa mfumo wa rushwa na ukandamizaji wa CCM na mitaani wanasema potelea mbali ni mbinu na watu gani watatumika, lakini cha msingi CCM ing'oke.

Wenye akili timamu na mang'amuzi wanajua wazi kuwa Dr Slaa ni rushwa imemtembelea! Hivyo, kujibizana naye kwa wakati huu ni kuipoteza muda bila sababu. By the way, mara ya kwanza alipoamua kupumzika mbona alikuwa ameishashaulika tayari? Nawashauri Ukawa waendelee na kampeni kama kawaida hata bila kugusia suala la Dr Slaa.
 
Imenichukua siku kadha kuamini kama kweli aliyekuwa akibwabwaja yale maneno pale Serena Hotel alikuwa ni Dr. Slaa.

Ni Dr Slaa aliyekuwa akiishambulia Chadema akidai kaitumikia sana.
Ni Dr Slaa aliyewaita wenzake makapi. Akasahau naye ni kapi maana alitoka CCM baada ya kukatwa mwaka 1995.

Ila mbali na siasa , Dr Slaa ana kofia nyingine muhimu katika jamii, ni Padre. Padre gani huyu aliyekula kiapo......

Hao ndio wanasiasa mkuu.
 
Back
Top Bottom