TUTASHINDA TENA
Senior Member
- Aug 12, 2014
- 141
- 78
Huyu Bubelwa Kaiza na NGO yake ya kitapeli wafungiwe. Hajaanza leo lakini pia ana kashfa za kutafuna pesa za wahisani. Alipotea hapa katikati nashangaa kaibuka kwa gia tofauti
Mhh ni Kweli?
Huyu Bubelwa Kaiza na NGO yake ya kitapeli wafungiwe. Hajaanza leo lakini pia ana kashfa za kutafuna pesa za wahisani. Alipotea hapa katikati nashangaa kaibuka kwa gia tofauti
Watu hawajui tu...Lowassa ndo goli la mkono aliloliongelea Nape..Subirini muone
Hivi inawezekana eenh?
Kukaa kimya ni jibu tosha itafika mahali atajiona mjinga, hakuna ambaye hajui kilichotokea kuhusu richmond.
Huu ujeuri wa kuwaita usiokubaliana nao vijana na wachanga unautoa wapi? Wakati tunapigwa virungu tukidai vyama vingi mwaka 1990, 1991 hadi 1992 Dr. Slaa alikuwa wapi? Upi ulikuwa msimamo wake kuhusu mfumo wa vyama vingi? Je aliunga mkono upepo wa mageuzi? Kama ni ujana na uchanga, hakika wewe sheiza watia fora.Kitu ambacho vijana wengi wachanga wa siasa hamjakijua ni kuwa aliyeifikisha ccm hapa mpaka imekuwa taabani ni Dr silaa..alitishwa sana tu hadi kuwekewa vipaza sauti kwenye chumba alichokuwa analala Dodoma bila kujua..alivuruga hadi mtandao wao na mwishowe wakawa maadui..kujibu hoja za huyu mzee unatakiwa utulie sana..na watu wa kumjibu ni lazima wawe wanaaminika katika hayo makundi..ccm walimshindwa..tundu lissu kakurupuka kala za mbavu katulia..tunamsubiri gwajima na wengine..alitulia, mmemchokoza..nawahakikishia hadi octoba hamtakuwa pamoja..time will tell..hili ni jeshi baya sana la mtu mmoja
hoja gani anaweza kujenga? Hivi kuwaambia wenzako waondoke ccm kabla ya kura ya maoni wakati na yeye alikImbia ccm baaada ya kukatwa ndio kujenga hoja?kuna aina ya wanasiasa unaweza kuwazarau usijibu hoja zao lakini sio kwa mtu kama dk slaa ,huyu anauwezo wa kujenga hoja na anaushawishi kwenye jamii.embu jaribuni kutojibu hoja zake muone mtaambulia kura ngapi
Kitu ambacho vijana wengi wachanga wa siasa hamjakijua ni kuwa aliyeifikisha ccm hapa mpaka imekuwa taabani ni Dr silaa..alitishwa sana tu hadi kuwekewa vipaza sauti kwenye chumba alichokuwa analala Dodoma bila kujua..alivuruga hadi mtandao wao na mwishowe wakawa maadui..kujibu hoja za huyu mzee unatakiwa utulie sana..na watu wa kumjibu ni lazima wawe wanaaminika katika hayo makundi..ccm walimshindwa..tundu lissu kakurupuka kala za mbavu katulia..tunamsubiri gwajima na wengine..alitulia, mmemchokoza..nawahakikishia hadi octoba hamtakuwa pamoja..time will tell..hili ni jeshi baya sana la mtu mmoja