Wakuu, Amani kwenu!
Mi ni mdau ambaye muda mwingi nipo kimya tokana na kazi yangu. Siishii kulalamika, nachukua hatua kwa kukutana na ambao ningewalalamikia na kuyasema ya moyoni.
Nakumbuka nilikutana na Mbowe 2004 & 2009, Lipumba 2005 na 2010 mwanzoni (kabla ya Uchaguzi), Mbatia 2009 (Waridi wa JF kama upo humu utakuwa umeshajua mimi nani), Mrema 2010 mwanzoni n.k nikiwashawishi wajiunge pamoja ili 2010 kwa pamoja Wapinzani wawe na impact kubwa zaidi.
Dr. Slaa ukiwa na kumbukumbu nzuri utakumbuka 2010 Juni tulikaa pia na nikakupeni mbinu kadhaa za kushinda uchaguzi na kufanya kampeni kwa ufanisi zaidi. Naamini unaikumbuka kazi nzuri ya kina Mwanakijiji na wenzake kupitia kwa Kitila, sijui kama bado watu hao wana thamani mbele za chama.
Naam, hiki kilikuwa kilio cha wengi, mimi kwa mapenzi yangu kama Mtanzania nikajitoa kuonyesha kuwa we can walk the talk kwa kuhakikisha tunawasilisha kilio cha wengi.
Leo, nakumbana na huu waraka/mkakati. Sipendi kusema ni mbaya, wadau mtaamua wenyewe lakini kama mdau wa mabadiliko nadhani tunatakiwa kujitafakari.
Tunafanya sawa?
Sina tatizo na mikakati, lakini maswali yanakuwa mengi katika hoja hizi na nashindwa kuelewa nafasi ya ndg Bubelwa katika UKAWA.
Wasalaam
Tantalila wa JF

Ndugu-zangu-wadau-wa-UKAWA habari za kushinda,
Ninakuandikieni ujumbe huu kwa imani kuwa sote au wachache wetu tumeagalia au kusikiliza wasilisho la Dk. Slaa wakati akiongea na waandishi wa habari, leo alasiri, katika hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
I.--Niliyoyabaini katika wasilisho na hoja za Dk. Slaa:
1.-Dk. Slaa ana hasira kali ya kutopewa fursa ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2.-Dk. Slaa anafanya special assignment aliyopewa na CCM au pengine na wabaya wengine wa Bwn. Edward Lowasa, kuhakikisha mgombea huyo wa UKAWA hapewi ridhaa na wananchi kuongoza Jamhuri ya Muungno wa Tanzania.
3.--Hoja zake zote (inawezekana ni kutokana na ujinga au upotoshaji wa makusudi) ni specifically personal and personally targeted dhidi ya Bwn. Edward Lowasa au campaign backup team yake; Bwn. Frederick Sumaye/Lawrence Marsha na wengineo.
4.--Anajaribu kuaminisha umma kuwa yeye ndiye credible source ya jambo lolote analolisema au atakalosema kuwa ni kweli na sahihi.
5.--Appeal yake preaching or sentimental presentation rather than scientific analysis ya siasa na utawala.
6.--Kwa namna alivyomalizia wasilisho lake, in dhahiri kuwa ana lengo na mkakati wa muda kati kuendelela kutumia fursa ya Ukatibu Mkuu wa Chadema au fursa nyingine kama platform ya kushambulia mgombea uras wa UKAWA, akijitahidi kuaminisha umma juu ya kauli zake kuwa ni sahihi na ukweli mtupu.
7.--Kuna kauli nyingi za uongo alizozitoa katika wasilisho lake, ikiwa in pamoja na kusema kuwa hakuwahi kuwa na matamanio ya kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
8.--Yeye binafsi na assignment yake ni potential threat detrimental and damaging dhidi ya mipango na mikakati ya UKAWA kukomboa taifa hili kutoka mikononi mwa manyangau wa CCM.
9.--Kukiwa na a well designed damage-control and engagement strategy, Dk. Slaa anaweza kuishia walikoishia akina Michael Nyaruba, James Mapalala, Awesu Daddi na wengineo, enzi hizo ( 1990s), wahusika wakibebwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Commando Dk. Salmini Amour kushambulia CUF-Chama Cha Wananchi na viongozi wake kupitia mikutano ya hadhara na Televisheni Zanzibar.
II.---Hatua za kufanya-
Washirika wa UKAWA na uongozi wa Chadema kwa nafasi zao wanapaswa kubuni na kutekeleza haraka, damage control strategy, kwa kufanya yafuatayo:-
1.-Kuunda kikosi-mkakati kidogo chenye wataalam (wasizidi 5) wa mikakati ya mawasiliano ya kampeini za kisiasa (political campaign message mass communication strategists/experts, intelligentsia, political science/political anthropology) na kupewa jukumu la kuandaa majibu; kujibu mawasilisho yote ya Dk. Slaa kupitia vyombo vya habari (ikiwa ni pamoja na kuitisha press conferences) na baadaye kuendelea kumu-engage proactively kwa lengo la kuhakikisha anakuwa ignored na umma (political society) wa Tanzania nap engine kumfanya aonekane adui wa mabadiliko mbele ya macho ya umma (political reform public enemy). Kikosi-mkakati hicho kinaweza hata kufanya utafiti na ku-expose the inner motives za harakati za Dk. Slaa. Kwa mfano, kuna taarifa za kuamininika kuwa maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa yameingiliwa bila yeye kujua, na watu wa Kitengo (Bernard Membe). Kupitia kwa mkewe Josephone, Kitengo kimekuwa kikichagiza maisha ya Dk. Slaa Josephine alipewa mtaji na diplomatic passport kwa ajili ya safari za kibiashara nchini China. Taarifa hizi zitafitiwe na kuhakikiwa, kuthibitishwa na kuwa exposed kupitia public media consistently and throughout kipindi cha kampeini za uchaguzi mkuu.-
2.-Kamati Kuu ya Chadema ikutane immediately kujadili na kuazimia kumsimamisha uanachama na kumwondolea cheo cha Katibu Mkuu Dk. Slaa, ili kumwondolea credibility ya kutamka chochote akiwa mwanachama au kiongozi wa kitaifa wa Chadema. Katika hili Chadema ifanye haraka kujaza ya Katibu Mkuu wa chama hicho.
3.-Chadema, hususan viongozi wakuu wa chama hicho, wasijibu chochote alichokisema au atakachokisema baadaye Dk. Slaa, isipokuwa kazi hiyo waache ifanywe na kikosi-mkakati cha wataalam wa mawasiliano ya kampeini za kisiasa.
4.-Team ya Kampeini ya mgombea urais wa UKAWA ishauriwe, isijiingize kujibu chochote alichokisema au atakachokisema Dk. Slaa kuhusiana na mgombea urais wa UKAWA au wajumbe wa team ya kampeini yake. Kama kuna suala au hoja yoyoye ipelekwe katika kikosi-mkakati cha wataalam wa mawasiliano ya kampeini za kisiasa kuandaa na/au kutoa majibu.
-
Ni hayo tu kwa leo.
-
Bubelwa E Kaiza,
Executive Director,
Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA),
P. O. Box 32505,
Ph.:-+255784410939,
E-mail:-bubelwa.kaiza@fordia.org
Dar es Salaam.
Sina tatizo na mikakati, lakini maswali yanakuwa mengi katika hoja hizi na nashindwa kuelewa nafasi ya ndg Bubelwa katika UKAWA.
Wasalaam
Tantalila wa JF