Mijitu hii siipendi na inanikeraaa aaarrgghh...

inaonekana huna adabu kijana neno gani umelitumia yaani 'mijitu' humu ndani hamna mijitu kuna watu sawa kijana, swala la lugha nimapenzi ya mtu kuamua atumie lugha gani kama hautaelewa jaribu kuuliza humu kuna magreat thinkers watakutafsiria. Nitarudi baadae kidogo
 
Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi kiswahili?kama unaamua kuongea kingereza ongea kingereza moja kwa moja kana unaongea kiswahili ongea kiswahili moja kwa moja,hasa nyie ma dada fanya (sista do) na masharobaro,huo ni shamba unalikuta jitu limesoma
s/m tandale + bon'goa nikusweke sec likifika chuo tu linajifanya kuongea kiswahili halijui na mingine imekula daraja la 4 kidato cha nne nae pia hujiona msomi akichanganya kisw+kiing..kiingereza sio kigezo cha usomi kwa kuwa hadi chizi kenya anaongea kiingereza,siwakatazi kuongea kiingereza,ila msiwe mnachanganya na kisw,mnatuharibia lugha yetu aaaarrggh acheeeniii hzoooo yoo...
yapu,zat isi wasap.lol
 
nahisi atakuwa ameogopeshwa na avatar yako.lol
 
Nimeipenda hiyo. Mara kwa mara hapa huwa nasema sisi binadamu ni mahodari sana wa kuona dosari za wengine kuliko zetu sisi wenyewe.

Wapo ambao hufanyaga makusudi. Wapo ambao hupenda kujionyesha kuwa nao wanajua Kiingereza. Watu wa aina hii huhusisha Kiingereza na ustaarabu flani hivi pamoja na usomi. Wewe hujawahi kukutana na watu wa hivyo?

Mi nimewahi mmoja wapo ni AshaDii and me by the way!!
 
Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi kiswahili?kama unaamua kuongea kingereza ongea kingereza moja kwa moja kana unaongea kiswahili ongea kiswahili moja kwa moja,hasa nyie ma dada fanya (sista do) na masharobaro,huo ni shamba unalikuta jitu limesoma
s/m tandale + bon'goa nikusweke sec likifika chuo tu linajifanya kuongea kiswahili halijui na mingine imekula daraja la 4 kidato cha nne nae pia hujiona msomi akichanganya kisw+kiing..kiingereza sio kigezo cha usomi kwa kuwa hadi chizi kenya anaongea kiingereza,siwakatazi kuongea kiingereza,ila msiwe mnachanganya na kisw,mnatuharibia lugha yetu aaaarrggh acheeeniii hzoooo yoo...

Halafu wakenya na waganda wakiwapiga bao kwenye ajira sababu ya tatizo la umaimuna usilalame!!
 
Tatizo unaloliona ni mtazamo finyu tu wa fikra zako. Aidha kabla hujaanza kuvurumusha mawe kwa sisi tuchanganyao lugha, ungeiliza kwa nini huwa hivyo.
Kwa kua hujauliza basi nikuache bila jibu. Sasa utabaki unataka kujua kwa vipi nimekwambia una fikra finyu.
Ni hivi mara kadhaa tunamuona Balozi wa Marekani hapa nchini akiongea kingereza akichanganya na Kiswahili, na si yeye tu, Wazungu wengi wanachanganya kingereza na Kiswahili lakini hawaonekani kioja au kituko! . Wala hamuwaonyeshei kidole! . Vidole ni kwa Mswahili kuchanganya. Maana wazungu mnawaogopa au mnawaheshimu? Nonsense with Senseless !

Wazungu wanapochanganya kisw+eng huwa hawachangany kwa makusudi bali ni kwa kuwa hawakijui vizur kisw(sio wote ni baadhi yao) sasa kwa wabongo huwa ni makusudi na kujionesha kuwa nao pia wamo yoo,..
 
kwani una uhakika gani hapa wa2 wote wanajua kingereza vizuri au kiswahili?kuna uliyempeleka course hapa ya english au kiswahili,wake up!
 
hua inanishanishangaza saana when one condemns others of issues ambazo ni wazi kabisa nae afanya.... Okey yawezekana kweli wakerekwa... But why choose such a name as great thinker kama kweli you are that patriotic about your language?

Samahani kama nitakua nimkekukwaza mkuu... Lakini mara nyingi sio makusudi... Believe me you.... Tubadilike jamani... Kwamba mtu akichanganya lugha wamsoma vibaya au kufikiri kua anajionesha yeye ni bora? Jamani where dou you get that idea?... Sio kwamba ni masister do' hapana... It just happens...

Pole saana great thinker kwa makwazo ambayo hua tunakupatia..... Ila tu nashauri uzoee maana sidhani kama waweza i-control. Jiion njema.

hana jipya huyo!
 
Wazungu wanapochanganya kisw+eng huwa hawachangany kwa makusudi bali ni kwa kuwa hawakijui vizur kisw(sio wote ni baadhi yao) sasa kwa wabongo huwa ni makusudi na kujionesha kuwa nao pia wamo yoo,..

Ndo maana wa Africa hatufiki mahali na hatuna maendeleo ajili ya mtu kama wewe..
Huna hata haya kukaa hapo na kumpoda Muafrica mwenzako.. I hope wewe ni mzungu

Watajifunza vipi hiyo lugha kama hawata jaribu? na kujaribu ndo huko kuchanganya nyie ndo wale
mnao dhani mtu akijua English ni msomi.. Ulichosema hapo juu umejitukana wenyewe.....
 
Unakuta lijitu linaweza kabisa kuongea kiswahili kizuri tu basi ukilikuta linaongea neno moja la pili kiingereza ,huu ni ushamba na ulimbukeni wa lugha za kigeni,hamjui kua mna kinajisi kiswahili?kama unaamua kuongea kingereza ongea kingereza moja kwa moja kana unaongea kiswahili ongea kiswahili moja kwa moja,hasa nyie ma dada fanya (sista do) na masharobaro,huo ni shamba unalikuta jitu limesoma
s/m tandale + bon'goa nikusweke sec likifika chuo tu linajifanya kuongea kiswahili halijui na mingine imekula daraja la 4 kidato cha nne nae pia hujiona msomi akichanganya kisw+kiing..kiingereza sio kigezo cha usomi kwa kuwa hadi chizi kenya anaongea kiingereza,siwakatazi kuongea kiingereza,ila msiwe mnachanganya na kisw,mnatuharibia lugha yetu aaaarrggh acheeeniii hzoooo yoo...

dogo inaonekana umezungukwa na raha tupu mpaka unasaka kitu cha kukughadhibisha! Unauwezo wa kutomsikiliza mtu! why do you pay attention to someone anayekuboa kiasi hicho........au kwa nini unasoma post za kwenye hii thread ambazo zimechanganya lugha?
Ndo tulivyo.......just accept it and utacop tuu!!
 
reference yako ni wazungu?
Mfaransa sio mzungu?
Anaongea kizungu? Kingereza? Kiinglish?

Wazungu wanapochanganya kisw+eng huwa hawachangany kwa makusudi bali ni kwa kuwa hawakijui vizur kisw(sio wote ni baadhi yao) sasa kwa wabongo huwa ni makusudi na kujionesha kuwa nao pia wamo yoo,..
 
kumbe kila mtu ni mtu?
Sijawahi muona huyu binti akisema hivi

Ndo maana wa Africa hatufiki mahali na hatuna maendeleo ajili ya mtu kama wewe..
Huna hata haya kukaa hapo na kumpoda Muafrica mwenzako.. I hope wewe ni mzungu

Watajifunza vipi hiyo lugha kama hawata jaribu? na kujaribu ndo huko kuchanganya nyie ndo wale
mnao dhani mtu akijua English ni msomi.. Ulichosema hapo juu umejitukana wenyewe.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom