JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
mkaidi hafaidi.....?
mgaagaa na upwa..
​hahahahaaaa!!na usilolijua sawa na usiku wa giza!!
​sema manoah!!
​sema mdogo wangu manoah!!
​sema manoah!!
​sema mdogo wangu manoah!!
Passion Lady unatakiwa kumjuza asie jua.. bana mzima ?
nisaidie kumjuza coz u no her better
than me pls!!
Hivi hizi ID's ni mashindano kuwa nazo nyingiiii?
​ok poa!nenda kule basitayari nime mjuza hapa.. kanielewa
eeh! nimekumbuka, ngoja nikuambie... huko kuna baridi sana.. tufanye mpango niwaleteeni gas ya ntwara au unaonaje?
tena utauza sana,halafu mama ako na baba
​yako wa huku wanajua kuhusu ubatizo wa jina jipya kweli!!
​katrina imepita eeeh hahahaa!!teh..! sipoteleki jamani.. lol!
mie sina usemi jamani.... nashukuru upepo umepita salama....