Mijimama kumbe nomaaa

Usiwatishe vijana wape mbinu mbadala kama jimama huko ndio hivyo wabadili laini majimama wanapenda sana express yourself.
 


daa nina mshikaji wangu....alipedwaga na jimama maeneo ya sinza.....

jimama likamjengea nyumba na kumpa gali la kutembelea....sasa hivi jamaa yupo uingereza.....jimama limempeleka akasomeee apate at least diploma ya business administrations ili ....akirudi amsaidie katika biashara zake........

kwa kifupi.....hiizi inshu ni vigumu kuzuia maana.....vijana wengi....wanapenda kuishi maisha mazuliii
 
tukubali jimama lina utamu wake kosa lao wivu wa mapenzi hawataki uoe. tusome alama za nyakati vijana jimama ni hela tu akupe ule mzigo kisawasawa maisha hakuna tupoooooo
 

Hilo ndo nalihitaji nilipe mambo hadi lirizike lenyewe, katapila kwa katapila.
 
kweli majimama wamezidi hasahasa mkoa wa Kilimanjaro mama zetu wanaaibisha kwa kutembea na watoto wao hasa wale waliofiwa na waume zao kwa ngoma tubadilike jamani.
 
kwanza kabisa vijana wanaopenda mijimama ni wale wote wasiopenda kujituma kwenye kazi kwa hiyo wanapenda kuenjoy bila kutokwa na jasho lakini sio mijimama tu ndio wanaopenda serengeti boys hata wazee nao wanapenda dogodogo hivyo ni viceverser.
 

Ni kweli kabisa mtu mkaka anajisifia kabisa et nimetembea na mtu kanizidi miaka saba unabaki unashangaa!ni mapenz kweli au ni kitu kingine ulifata?mwanangu nitajitahid kumwelimisha kuwa ukiwa na mwanamke kakuzid umri unaonekana unamtegemea na huwez kuwa huru
 

wewe yako ya nini
 
Tatizo ni ugumu wa maisha, Mara nyingi hakunaga mapenziiii....
 

Hayo yenye kubwa mi ndio nayapenda sasa ili yanipwelepwete tu
 
Ety vipiraa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…