Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,541
- 44,295
Hujafika vingunguti wewe, kwa njenge zilizopo huku utazimia mzee.
Mindset za Watanganyika hizi.SIO watu maboss zako WA CCM
Hayo madarasa yapo wapi, na mwalimu NI naniIngia kwenye madarasa ya kiroho na utambuzi ujifunze siri za ulimwengu uwe huru ule kwa mrija.
Achana na mautajiri ya masharti ya kipumbavu, uliona wazungu au wachina wanalala na nyoka au kuku wa punje.
Utajiri na umasikini upo ndani mwako tumia sumaku iliyo ndani mwako uvute utajiri au umasikini, umeumbwa kwa mfano wa Mungu unakuaje masikini sasa.
wanaopajua wanajua ni nini Tunazungumzia...Duh! Mpaka mtu kua na michongo uweze kumiliki mjengo Mbweni SIO mchezo
Pmwanaopajua wanajua ni nini Tunazungumzia...
😜😜😜😜Pesa zipo vip utaweza kulala na nyoka?
😂😂😂😂😂Watu wamejenga maghorofa tu yaan kama vile walikua kwenye mashindano nimemuuliza mwenyej wangu aliyenipeleka kwake vip wenzetu pesa mnazitoa wap😳 Hadith zikawa nyingi kuliko majibu
Anyway afya njema napumua bila shida tuseme Allhamdulilah🤗
Kabisa Mkuu.Utajiri gani huo wa kipumbavu yaani usujudie majini wakupe utajiri wakati zipo njia kibao za utajiri uutakayo unakula na ndugu kwa amani na furaha
wakiwa mbwinde huko wanaipambania ccm tukiwaambia kwamba ccm wezi hawaamini sa kapita mbweni leo tu anashangaa hujaenda bahari beach, masaki, kunduchi, ununio , kule bunju moga road na vitu kama hivyo, atajua kwanini hawa jamaa wako tayari kutoa roho ZA watu wao waendelee kuishi hayo maisha....Lukasi Mwashambwa mwenyewe siku ya kukanyaga masaki akirudi uyole anaacha upumbavu wote...Anyways ngoja nkusaidie majibu, Mkuu mbweni ndio CCM wale Grade ya kwanza wanakaa wale wapumbavu wanakuaga huku jukwaani wanapiga kelele na kububujikwa na machozi wanakaa vingunguti spenko shrimp la mavi....
hahaaaaaaa kawaambia ukweli kule kuna mitaa wamajimegea kutoka malindi na jkt wameikata vizuri kuna samia one hadi five na yote ina lami kimsingi kule ndio wanaishi binadamu hawawapiga debe wote wanakaa buza na viraka vyao matakoni hata ukiwasanua hawatakuelewa wanaimba mapambio tu , nilikuwa bongo mwezi wa tano niliishia kupata hasira bora niendelee kubeba boksi tu huku.Mkuu umewachamba kama Mzaramo wa Kisarawe
Waambie hao...!Mindset za Watanganyika hizi
Mbweni karibu na jkt darajani wanapata tabu sana paleSema Kuna vipande vya Mbweni na Mbezi beach Kuna Changamoto ya maji kutuama wakati wa mvua
Ahahaha 🤣 🤣Waambie hao...!
Wana-mind vitu vidogo vidogo, hawana lolote.
Sisi tunaokula kwa urefu wa kamba zetu mindset zetu ziko viwango vingine...au sio!?