Mijengo ya Mbweni

Mijengo ya Mbweni

Pesa zimejaa tele nchini ni wewe tu uwe na macho ya kuzichota tu fursa zipo tele sana nchi hii
 
Karibu huku Msumbiji nina kuku atakula mahindi yatayomwagwa chini, kila punje ya hindi huwakilisha mwaka mmoja utaokuwa na utajiri, akila mahindi 30 utakuwa umeupiga mwingi ila akila punje 1 ya mahindi tusilaumiane maana ni masharti ya utajiri.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Utajiri gani huo wa kipumbavu yaani usujudie majini wakupe utajiri wakati zipo njia kibao za utajiri uutakayo unakula na ndugu kwa amani na furaha
 
Shida ya ununio ipo kama kijichi.

Kuna mitaa ya kishua lakini Kuna mitaa ya kajamba nani. Hii ni tofauti na Mbweni ambako Kila mahali kumejengeka.

Alafu hii mitaa ya ununio uswahilini na kijichi uswahilini ni mitaa ya CCM na serikali za mitaa(kijichi CCM na ununuio mitaa ya ununio sirikali ya mtaa). Kuna namna hii nchi sisiem wanadumaza.
Mbweni viwanja vilipimwa tofauti na kijichi
 
Watu wamejenga maghorofa tu yaan kama vile walikua kwenye mashindano nimemuuliza mwenyej wangu aliyenipeleka kwake vip wenzetu pesa mnazitoa wap😳 Hadith zikawa nyingi kuliko majibu
Anyway afya njema napumua bila shida tuseme Allhamdulilah🤗
Tulipoenda kuomba kibali cha ujenzi, wanataka maghorofa. Ndiyo maana unaona Mbweni ina maghorofa mengi. Karibu Mbweni JKT nakwede97 🤗
 
Pambana, jiamini na chonga connections(networking) vilevile usikubali kukatishwa tamaa ya kwamba eti hauwezi kufikia ndoto zako bila kujali una ndoto kubwa kiasi gani, mabao mengine hutokea unexpectedly kikubwa uwe 'babarani' ukipambana.
Mzee huu ujumbe mzito sana.. cha msingi ni kukomaa, michongo ya pesa ndefu inatatokea nikiwa road.. kuliko kushinda mtaan
 
Tupe code sasa
Ingia kwenye madarasa ya kiroho na utambuzi ujifunze siri za ulimwengu uwe huru ule kwa mrija.
Achana na mautajiri ya masharti ya kipumbavu, uliona wazungu au wachina wanalala na nyoka au kuku wa punje.
Utajiri na umasikini upo ndani mwako tumia sumaku iliyo ndani mwako uvute utajiri au umasikini, umeumbwa kwa mfano wa Mungu unakuaje masikini sasa.
 
Back
Top Bottom