DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Prof Jay Ana Nyumba MbweniKujipangeje Mzee , kuishi Maeneo hayo lazima uwe fisadi
Prof Jay Ana Nyumba MbweniKujipangeje Mzee , kuishi Maeneo hayo lazima uwe fisadi
🤣🤣🤣🤣Sasa wewe hata ubunifu tu wa ID yako umeshindwa kubuni na ukacopy yangu,utayaweza maisha kweli? Utaishia kushangaa mali za watu tu.
Au sio watanzania
Pambana na hali yako ujue wengine tumeibia watz,wengine escroo wengine tumeua Hadi mamazetu na kadhalika na wengine masharti yetu magumu kweli hatulali hata humo ndaniAseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
Anakuwaga ni jini kavaa umbo la kuku ndugu, kama ni moja ni moja hata kama utapewa ukakae nae kwako hizo siku 2!!🤣Huyo inabidi asile kama siku 2, ndio aje kula mahindi
Aseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
Mbweni wahuni wanaonyesheana nani zaidi anajeuri ya pesaUnunio imeungana na mbweni ila mbweni ni hatar nyingine mkuu
Didnt see this shit comingSasa wewe hata ubunifu tu wa ID yako umeshindwa kubuni na ukacopy yangu,utayaweza maisha kweli? Utaishia kushangaa mali za watu tu.
Kibada kawaida Sana, Mbweni ni LEVEL NYINGINE KABISAVipi Kule Kibada Kigamboni,Kuna baadhi ya block pamejengwa haswaaa
Braza nasemaje hakuna ccm huko sijui bariadi sijui wapi CCM wale kweli kweli mzee wako sehemu hizo, kama huamini pita uone maajabu.. Mwanagu hawa jamaa wana mihela. Ndio mana kila mtu anataka kuwa mbunge ccm sababu ndio rahisi kuwa Tajiri na kupata ubunge na kuishi lavish life bila kubughudhiwa na mbwa yeyote....Mkuu pita simu moja update hasira ya kutafuta hela kiroho mbaya.....😂😂😂 Naskia Hadi mwenyekiti wao WA CHAMA ana hekalu pande hizo
Pita sasa ndio ujue watu wanajengaHuku bado
Mh Kuna watu na wafu watu Wana helaUnunio imeungana na mbweni ila mbweni ni hatar nyingine mkuu
Kuna video moja niliwahi kuona ya dalali anaonyesha Maeneo ya Mbweni na nyumba zake, nikasema kweli Kuna sehemu Tanzania ina nyumba za kifahari kuzidi Mbweni?Braza nasemaje hakuna ccm huko sijui bariadi sijui wapi CCM wale kweli kweli mzee wako sehemu hizo, kama huamini pita uone maajabu.. Mwanagu hawa jamaa wana mihela. Ndio mana kila mtu anataka kuwa mbunge ccm sababu ndio rahisi kuwa Tajiri na kupata ubunge na kuishi lavish life bila kubughudhiwa na mbwa yeyote....Mkuu pita simu moja update hasira ya kutafuta hela kiroho mbaya.....