Mijengo ya Mbweni

Mijengo ya Mbweni

Tafuta ramani for future mkuu siyo mbaya endelea kupita
Dah....! Ndiyo umejenga huko au umepanga?
Samahani na-trespass lakini kuna 'picha naitafuta'.
Labda niseme hivi, si wote wenye mijengo ya thamani sehemu nzuri ni matajiri, kuna wanaopata a good catch na wakaiwekeza yote kwenye mjengo na wakaendelea na maisha yao ya kawaida. Hata wewe inaweza kukutokea kama uko focused, hakuna mtu 'fighter' ambaye hajakutana au hatakutana na mshiko so kama haijakufikia never give up.
Nyumba ya ulithi nipo
 
Karibu huku Msumbiji nina kuku atakula mahindi yatayomwagwa chini, kila punje ya hindi huwakilisha mwaka mmoja utaokuwa na utajiri, akila mahindi 30 utakuwa umeupiga mwingi ila akila punje 1 ya mahindi tusilaumiane maana ni masharti ya utajiri.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Huyo inabidi asile kama siku 2, ndio aje kula mahindi
 
Nchi ina GDP ya 78Billion $

Unajua ni sh ngap

78,000,000,000 x 2500 =1.95×10¹⁴
Ambayo ni. Trilion. Ngap? 195,000,000,000,000

Kama sijakosea n Trion 195 zinazunguka kila siku kwa mwaka mzima

afu unauliza watu wanatoa wap hela
Acha propaganda, wanazipata kwa mishe gani
 
Back
Top Bottom