jmn wenye utaalamu na mambo ya busness plan atoe ushaur hapoHabari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira.. nataka kuanzisha biashara..
Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara .. sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi
kwa hyo naomben ushauri wenu plz plz
Natumain mtanipa ushauri mzuri..
Mkuu eleza vizur Zambia biashara gan ataenda Fanya maana tunaweza pata faida na sisiNenda zambia kufanya biashara mi nipo tayari kukusidia kupata pasiport kwa ģharama zangu hapa Tz utaishia kulia
Umachinga unakuwa na meza ya kuuza bidhaa zako wazambia wengi ni wavivu na wengi wanategemea kuajiriwa na serikaliMkuu eleza vizur Zambia biashara gan ataenda Fanya maana tunaweza pata faida na sisi
Sehemu zote mbili nazimuduUnakaa mjini au kijijini?
Inabidi nijue kwanza gharama za maisha za sehemu husika huko Zambia na aina ya biashara.Nenda zambia kufanya biashara mi nipo tayari kukusidia kupata pasiport kwa ģharama zangu hapa Tz utaishia kulia
Njoo nkuletee kuni ....kenta kwa milion moja kuni 1600 ukiuza moja buku milion lak sita faida lak sita ....au nikuletee fuso kubwa kuni 3000 ukiuza moja buku milion tatu na bei ya kuletewa milion lak 8 faida milion lak 2 ........Vibal na kila kitu kipo ukitaka eneo la kifanyia zur lenye biashara ntakusaidia kutafta in shaAllah ....nichek 0685580057 tuongeeNaomba waungwana mnisaidie mawazo ya biashara kwa mtaji wa shilingi milioni moja na nusu(1500,000).
Unatapeliwa jombaNakushauri ufanye biashara ya mtandao(Multilevel markerting/network marketing) kwa hiyo hela ulio Nayo inatosha kabisa. Kuanza biashara
Karibuni sana kwenye kampuni yetu ya Alliance in motion global ambayo kiingilio kwa akaunti moja ni 560000 . baada ya miezi michache utakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni kwa wiki
Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane kwa whatsapp namba 0757409103
Nitakupa detail pia Maelezo kuhusu mahali semina zinapofanyikia. Zinazohusiana mfumo wa ulipaji katika kampuni
Mkuu hebu toa ufafanuzi kidogo hapa ,maana nilikuwa nahitaji pia kujua ABC za huko ,kuna siku sijajua kama ni wewe ulisema una mdogo wako huko unafanya biashara plz hebu fafanua kidogo aina ya biashara pamoja na changamoto zake huko zambiaNenda zambia kufanya biashara mi nipo tayari kukusidia kupata pasiport kwa ģharama zangu hapa Tz utaishia kulia