Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Habari! Najua watu wengi Wana tarajia kuanzisha biashara lakini Kwa namna 1 au nyingine hawana uzoefu nayo...

Kama ni hivyo basi eleza na useme mahali husika unayotaka kuanzisha biashara yako tukupe ushauri kwa ajili ya faida yako mwenyewe! Asantee na karibu!
 
Huo ushauri mnautoa bure ama kwa malipo, na vipi kuhusu security ya milki ya wazo la biashara ...??

(a) Kama mnatoa ushauri wa Biashara kwa malipo, mbona haujaweka gharama zenu za huduma kuanzia mtaji wa pesa kadhaa mnalipwa kiasi kadhaa?
(b) Kama mnatoa huduma hiyo bure, je ninyi mnafaidika na nini?
(c) Vipi kuhusu security ya wazo la biashara ikiwa anae taka kushauriwa akikuja kwenu, Je hamuwezi mkaiba wazo lake na kulifanyia kazi?
 
Hayo yote ni Bure mkuu na sehem maalaumu ya kukutana ni hapa hapa
 
Wakuu habar za mdaa me nipo dar nina mtaj wa laki 5 naitaj kufanya biashara ya dagaa kutoa mwanza kuja dar yoyote mwenye uzoef na hii kazi anijuze
 
habari wana jamii forum ! naombeni ushauri wa mawazo na ushauri wenu mm nina mtaji wa mil 3 nataka kufanya biashara ya juice ya miwa lakini nataka niiweke kwenye fremu je italipa naombeni ushauri wenu !kingine mashine nitazipata wapi ?na pia nahitaji disposable glass ntazipata wapi ?asanten naiman mtanisaidi ndugu zangu
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeshajaribu kufanya biashara tofauti tofauti,nilikuwa na mtaji mkubwa sasa naona unazidi kuporomoka na sijawahi acha kulipa kodi, kwa sasa naona nimebakiwa na hako ka m1 pekee akili inataka kuniruka nifanye biashara gani ili niweze kuhudumia familia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom